-
Rais Assad alipongeza jeshi la Syria kwa kuukomboa mji wa Palmyra
Mar 27, 2016 10:04Rais Bashar al-Assad wa Syria amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuukomboa mji wa kihistoria wa Palmyra kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Russia yatuma vikosi vya nchi kavu huko Syria
Mar 24, 2016 10:37Kamanda mmoja wa ngazi ya juu wa jeshi la Russia amesema kuwa nchi hiyo imetuma huko Syria kikosi maalumu kwa ajili ya kufanya oparesheni ya upelelezi na kazi nyingine maalumu nchini humo.
-
Kugubikwa na wingu zito la hitilafu mazungumzo ya Syria Geneva
Mar 22, 2016 02:24Huku wiki moja ikiwa imepita katika muda uliowekwa wa siku 10 kwa ajili ya mazungumzo ya amani ya Syria yanayofanyika mjini Geneva, hadi sasa hakuna chochote kilichoibuka kutoka ndani ya mazungumzo hayo, bali kwa mara nyengine tena wingu la hitilafu limetanda kwenye anga ya mazungumzo baina ya pande mbili husika.
-
Mawaziri wa kigeni wa Iran na Russia wajadili kadhia ya Syria
Mar 18, 2016 23:09Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamefanya mazumgumzo ya simu kuhusu usitishwaji vita nchini Russia.
-
Amri ya Rais Putin ya kuondoka vikosi vya jeshi la Russia nchini Syria
Mar 15, 2016 12:16Rais Vladimir Putin wa Russia jana alitoa amri ya kuanza kuondoka vikosi vya jeshi la nchi hiyo vilivyoko nchini Syria.
-
Zarif: Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria, ishara nzuri
Mar 15, 2016 11:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametaja hatua ya Russia kuanza kuondoa vikosi vyake Syria kuwa ni ishara nzuri.
-
Assad na Putin wakubaliana kupunguzwa vituo vya anga vya Russia nchini Syria
Mar 15, 2016 03:37Ofisi ya Rais wa Syria imetangaza kuwa marais wa Russia na Syria wamekubaliana kupunguzwa idadi ya vituo vya anga vya vya jeshi la Russia nchini humo.
-
Magaidi wakamatwa na silaha za Israel nchini Syria
Mar 11, 2016 23:03Vyombo vya usalama vya nchini Syria vimetangaza kuwa vimekamata magaidi kadhaa waliokuwa na silaha za utawala wa Kizayuni wa Israel nchini humo.
-
Mwangwi wa ushindi wa jeshi la Syria dhidi ya makundi ya kigaidi
Mar 09, 2016 13:10Waziri wa Habari wa Syria amesema kuwa njama za baadhi ya nchi za Magharibi na za Kiarabu za kuigawa Syria zimegonga mwamba.
-
Mpwa wa Kennedy: Sababu ya Marekani ya kutaka kumpindua Rais wa Syria ni bomba la gesi la Qatar
Mar 03, 2016 23:19Mpwa wa Rais wa zamani wa Marekani, John F. Kennedy ambaye ni mwanasheria amesema kuwa, sababu iliyoifanya Marekani ishiriki katika kampeni za kumpindua Rais halali wa Syria aliyechaguliwa kidemokrasia, ni mradi wa gesi wa Qatar.