-
Askari 18 wa Syria wauawa katika mripuko wa bomu dhidi ya basi
Oct 14, 2022 04:08Kwa akali wanajeshi 18 wa Syria wameuawa katika shambulio la bomu lililolenga basi la maafisa na askari wa jeshi la nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Damascus: Marekani inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake kutoka Syria
Oct 08, 2022 23:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesisitiza kuwa, Washington inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake haramu katika ardhi ya Syria.
-
Kuhuishwa uhusiano wa Hamas na Syria; kuimarisha muqawama katika eneo
Sep 18, 2022 06:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa inataka kuwa na uhusiano imara na Syria katika fremu ya uamuzi wake wa kuanzisha tena uhusiano na serikali ya Damascus.
-
Wakuu wa Intelijensia wa Uturuki na Syria wakutana Damascus kuandaa mkutano wa viongozi wa juu wa nchi mbili
Sep 16, 2022 20:55Shirika la habari la Reuters limezinukuu duru za Syria na Uturuki na kutangaza kuwa Hakan Faidan, mkuu wa shirikia la intelijensia la Uturuki na mwenzake wa Syria Ali Mamluk wamekutana kwa mazungumzo katika mji mkuu wa Syria Damascus ili kuandaa mazingira ya mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu zaidi wa nchi mbili.
-
Hamas: Tunatazamia kuwa na uhusiano imara na Syria
Sep 15, 2022 06:18Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa inataka kuwa na uhusiano imara na Syria ikiwa ni katika fremu ya uamuzi wa harakati hiyo wa kuanzisha tena uhusiano na Damascus.
-
Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel
Sep 08, 2022 03:16Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetangaza kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Halab ni jinai za kivita na kwamba, Damascus itatumia haki yake ya kisheria kwa ajili ya kujibu jinai za utawala huo.
-
Syria: Vikwazo ndiyo aina mbaya zaidi ya ugaidi
Sep 06, 2022 21:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amevitaja vikwazo kama uhaini na aina mbaya zaidi ya ugaidi duniani.
-
Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora
Sep 01, 2022 03:02Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Russia: Mashambulizi dhidi ya Syria yamefichua undumakuwili wa Magharibi
Aug 30, 2022 21:52Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulio haramu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimefichua sura halisi ya Wamagharibi likija suala la haki za binadamu.
-
Mashambulizi haramu ya Marekani nchini Syria, nembo ya ubeberu wa Washington
Aug 26, 2022 22:54John Kriby, mratibu wa mahusiano ya kiistratijia ya baraza la usalama wa taifa la ikulu ya Marekani, White House amejaribu kuhalalalisha mashambulio haramu ya nchi yake huko Syria na kudai kuwa, eti Washington haina nia ya kuzidisha machafuko katika eneo hili.