Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Kuanza kazi serikali mpya ya Syria; na changamoto tofauti na za hapo kabla

    Kuanza kazi serikali mpya ya Syria; na changamoto tofauti na za hapo kabla

    Aug 16, 2021 06:48

    Jumamosi ya tarehe 14 Agosti, Baraza jipya la mawaziri nchini Syria linaloongozwa na Waziri Mkuu Hussein Anrous liliapishwa mbele ya Rais Bashar al-Assad. Uchaguzi wa Rais nchini Syria ulifanyika tarehe 26 Mei na Rais Assad aliibuka na ushindi baada ya kupata asilimia 95 ya kura.

  • Safari ya Qalibaf mjini Damascus; ukurasa mpya wa uhusiano wa kiuchumi kati ya Iran na Syria

    Safari ya Qalibaf mjini Damascus; ukurasa mpya wa uhusiano wa kiuchumi kati ya Iran na Syria

    Jul 30, 2021 22:09

    Katika safari yake ya karibuni nchini Syria, Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran ameonana na kuzungumza na rais, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje na wafanyabiashara wa nchi hiyo.

  • Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan

    Russia yaitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake Iraq, Libya, Syria na Afghanistan

    Jul 28, 2021 03:17

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaka Marekani iwaondoe wanajeshi wake huko Iraq, Libya, Afghanistan na Syria.

  • Bashar al Assad: Tunafanya jitihada ili wakimbizi wa Syria warejee nchini

    Bashar al Assad: Tunafanya jitihada ili wakimbizi wa Syria warejee nchini

    Jul 27, 2021 02:52

    Rais wa Syria amesisitiza kuwa Damascus inafanya jitihada kuandaa mazingita ya kurejea wakimbizi nchini.

  • Mpango wa kuanzisha utawala wa ndani Syria, njama ya wapinzani wa serikali ya Damascus

    Mpango wa kuanzisha utawala wa ndani Syria, njama ya wapinzani wa serikali ya Damascus

    Jul 24, 2021 20:49

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa, kile kinachoitwa "serikali ya mamkala ya kujiendeshea mambo yake" ni mpango wa kutaka kuiodhoofisha nchi hiyo.

  • Hizbullah: Israel inafanya uchokozi wa waziwazi dhidi ya ardhi za Syria na Lebanon

    Hizbullah: Israel inafanya uchokozi wa waziwazi dhidi ya ardhi za Syria na Lebanon

    Jul 23, 2021 07:13

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema, shambulio la karibuni la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria ni uchokozi na uvamizi wa waziwazi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo na ardhi ya Lebanon.

  • Ripoti: Uingereza imetumia Pound milioni 350 kuipindua serikali ya Syria lakini imeshindwa

    Ripoti: Uingereza imetumia Pound milioni 350 kuipindua serikali ya Syria lakini imeshindwa

    Jul 22, 2021 03:26

    Mtandao mmoja wa habari umefichua kuwa, katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, Uingereza imetumia zaidi ya Pound milioni 350 kwa ajili ya kuipindua serikali ya Syria. Hata hivyo, dola hilo la kibeberu na kikoloni limeshindwa kupindua serikali halali iliyochaguiwa kidemokrasia huko Syria.

  • Bashar al Assad aapishwa rasmi kuwa Rais wa Syria

    Bashar al Assad aapishwa rasmi kuwa Rais wa Syria

    Jul 17, 2021 07:57

    Bashar al Assad leo amekula kiapo rasmi cha kuwa Rais wa nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka miaka 7 mingine.

  • Wamarekani waendelea kuiba mafuta na maliasili ya Syria

    Wamarekani waendelea kuiba mafuta na maliasili ya Syria

    Jul 03, 2021 22:06

    Wanajeshi vamizi na maharamia wa Marekani wanaendelea kuiba mafuta ya nchi ya Syria waliyoivamia kinyume cha sheria na kuhamisha nishati hiyo nje ya mipaka ya Syria kupitia kaskazini mwa Iraq.

  • Russia yaitaka Marekani iache kuiba rasilimali za Wasyria

    Russia yaitaka Marekani iache kuiba rasilimali za Wasyria

    Jul 03, 2021 08:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema Marekani inapaswa kukomesha tabia yake ya kuiba rasilimali za wananchi wa Syria, na badala yake ipambane na magenge ya kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS