-
Ilhan Omar alaumu shambulio ya Marekani dhidi ya makundi ya muqawama ya Iraq
Jun 28, 2021 22:12Mbunge Muislamu nchini Marekani ameilaumu serikali ya nchi hiyo kwa kufanya shambulizi katika mpaka wa Syria na Iraq na kusema kuwa, shambulio hilo ni siasa zilizofeli.
-
Syria yaalani misimamo ya Marekani na utawala wa Kizayuni kuhusu Miinuko ya Golan
Jun 27, 2021 21:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria kwa mara nyingine tena imesisitiza kuwa eneo la Golan ni sehemu ya ardhi ya nchi hiyo na kueleza kuwa, mamlaka ya nchi hiyo kwa eneo la Golan haibadiliki kwa kupita muda na misimamo ya Marekani na utawala wa Israel haina taathira yoyote ya kisheria.
-
Iran yataka kuondolewa vikwazo taifa la Syria
Jun 24, 2021 03:22Balozi na Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa iandae mazingira ya kuondolewa vikwazo vya kikatili dhidi ya taifa la Syria, ambavyo vimewaathiri mno wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Uporaji wa mali ya Syria na Iraq, sababu ya mashinikizo ya wananchi ya kutaka wavamizi wa Kimarekani waondoke
Jun 21, 2021 22:01Kuwepo kwa majeshi vamizi ya Marekani katika eneo lolote la Magharibi mwa Asia na hata maeneo mengine ya dunia daima kumekuwa sababu ya ukosefu wa amani na mashaka na machungu kwa wakazi wa maeneo hayo, tofauti kabisa na madai yanayotolewa na serikali ya Washington.
-
Watu wawili wameuawa na kadhaa kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu Afrin, Syria
Jun 16, 2021 03:33Watu wawili wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari lililokuwa limetegwa bomu kulipuka katika mji wa Afrin kaskazini magharibi mwa mkoa wa Halab (Aleppo) nchini humo.
-
Russia: Wanajeshi wa Marekani nchini Syria ni wavamizi, waondoke
Jun 09, 2021 07:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, wanajeshi wa Marekani ni wavamizi nchini Syria na wako huko kinyume cha sheria, hivyo wanapaswa waondoke.
-
Mfumo wa ulinzi wa anga wa Syria wazima shambulio la makombora la Israel
Jun 09, 2021 03:46Jeshi la Syria limetangaza kuwa, ngao ya ulinzi wa anga ya nchi hiyo imefanikiwa kuzima shambulio la makombora la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Damascus.
-
Nchi za Magharibi ziko mbioni kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia na Syria
Jun 01, 2021 22:43Baadhi ya nchi za Ulaya zimetangaza azma ya kufungua upya balozi na ofisi zao za kidiplomasia mjini Damascus karibuni hivi, siku chache baada ya Bashar al Assad kushinda muhula mwingine wa uchaguzi wa rais wa Syria.
-
Syria: Nchi za Magharibi uchaguzi wetu haukuhusuni ndewe wala sikio
May 27, 2021 06:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa, nchi za Magharibi hazipaswi kujipa uthubutu wa kuzungumzia uchaguzi wa nchi hiyo kwani hauzihusu kwa mbali wala kwa karibu nchi hizo za kibeberu.
-
Nukta sita kuhusu uchaguzi wa rais nchini Syria
May 27, 2021 06:35Uchaguzi wa pili wa rais katika muongo mmoja uliopita nchini Syria ulifanyika jana Mei 26. Tunaweza kuashiria nukta kadhaa hapa kuhusu uchaguzi huo.