Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria

    Ukosoaji wa Umoja wa Mataifa kuhusu uwepo usio wa kijesheria wa majeshi ya kigeni nchini Syria

    Jan 27, 2020 00:51

    Marekani imekuwepo kijeshi na kinyume cha sheria nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh (ISIS), ambapo licha ya madai ya Rais Donand Trump ya kuwaondoa askari wa nchi yake kutoka taifa hilo la Kiarabu, lakini hadi leo askari hao wameendelea kuwepo sambamba na kupora mafuta ya Syria.

  • Askari 40 wa Syria wauawa na kundi la kigaidi la Jabhat al-Nusra Idlib

    Askari 40 wa Syria wauawa na kundi la kigaidi la Jabhat al-Nusra Idlib

    Jan 23, 2020 23:22

    Makumi ya wanajeshi wa Syria wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi la Jabhat al-Nusra katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi.

  • Tahadhari ya UN kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto vitani nchini Syria

    Tahadhari ya UN kuhusu ukiukwaji wa haki za watoto vitani nchini Syria

    Jan 19, 2020 23:24

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, katika muda wa miaka tisa ya vita huko Syria watoto wa kike na wa kiume wa nchi hiyo wamenyimwa haki zao za msingi na haki zao zimekiukwa pakubwa.

  • Shamkhani: Kuondoka Marekani katika eneo kunapasa kuwa kipaumbele

    Shamkhani: Kuondoka Marekani katika eneo kunapasa kuwa kipaumbele

    Jan 13, 2020 09:06

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kuondoka Marekani katika eneo kunapasa kuwa kipaumbele na kueleza kuwa hakuna siku eneo la Asia Magharibi litakuwa na amani ya kudumu madhali wangalipo wanajeshi magaidi wa Marekani.

  • Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus

    Putin atembelea Syria na kukutana Assad, atembelea mitaa ya Damascus

    Jan 07, 2020 23:19

    Rais Vladimir Putin wa Russia jana aliwasili Damascus mji mkuu wa Syria na kukutana na Rais wa nchi hiyo, Bashar Assad.

  • Putin: Tunataraji vita vitamalizika mwakani 2020 nchini Syria

    Putin: Tunataraji vita vitamalizika mwakani 2020 nchini Syria

    Dec 30, 2019 23:16

    Rais Vladimir Putin wa Russia amemtumia salamu rais mwenzake wa Syria na kusema kuwa, ana matumaini mwaka 2020 (unaoanza kesho Jumatano) utakuwa wa kumalizwa vita nchini Syria na kupatikana usalama na utulivu katika maeneo yote ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Ali Akbar Velayati: Iran itasimama imara kukabiliana na njama chafu za maadui za kuzigawa nchi za Asia Magharibi

    Ali Akbar Velayati: Iran itasimama imara kukabiliana na njama chafu za maadui za kuzigawa nchi za Asia Magharibi

    Dec 28, 2019 08:43

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa Iran inapinga aina yoyote ya uingiliaji wa kigeni katika masuala ya nchi za eneo la Asia Magharibi, kama ambavyo itasimama imara kukabiliana na dhulma, njama, uvamizi na ajenda chafu za maadui kwa ajili ya kuzidhoofisha na kuzigawa nchi za eneo.

  • Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria

    Himaya ya Trump kwa magaidi na takwa la kusitishwa operesheni ya kuikomboa Idlib huko Syria

    Dec 28, 2019 07:13

    Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na waitifaki wake umewafanya magaidi waondoke katika ngome yao ya mwisho yaani mkoa wa Idlib. Jeshi la Syria na waitifaki wake wameanzisha operesheni ya kijeshi kwa lengo la kuikomboa Idlib baada ya magaidi kukiuka makubaliano ya usitishaji vita. Hata hivyo nchi za Magharibi hususan Marekani zinataka kusimamishwa operesheni hiyo kwa visingizio vya masuala yanayohusiana na haki za binadamu.

  • WikiLeaks: Shambulio la kemikali la mji wa Duma, Syria lilikuwa la kubuni

    WikiLeaks: Shambulio la kemikali la mji wa Duma, Syria lilikuwa la kubuni

    Dec 28, 2019 04:35

    Mtandao wa ufichuaji habari za siri wa WikiLeaks umeanika nyaraka zinazoonyesha kwamba shambulio la kemikali la mwezi Aprili 2018 katika eneo la Duma nchini Syria ambalo lililalamikiwa sana na madola ya Magharibi na Kiarabu, lilikuwa la bandia.

  • Iran yaonya; Israel itajuta kuanzisha mashambulizi dhidi ya Syria

    Iran yaonya; Israel itajuta kuanzisha mashambulizi dhidi ya Syria

    Dec 24, 2019 08:25

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kuanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya Syria akisisitiza kuwa, hujuma hizo hazitapita hivi hivi bila kupata jibu kali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS