Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Azimio dhidi ya Syria na kura ya Veto ya Russia na China ya kulipinga

    Azimio dhidi ya Syria na kura ya Veto ya Russia na China ya kulipinga

    Dec 22, 2019 23:10

    Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na washirika wake umepelekea kurejea nyuma makundi ya kigaidi kwenye ngome zao za mwisho yaani katika mkoa wa Idlib.

  • Makumi ya askari wa Ufaransa wajiunga na makundi ya kigaidi Iraq na Syria

    Makumi ya askari wa Ufaransa wajiunga na makundi ya kigaidi Iraq na Syria

    Dec 19, 2019 00:36

    Kituo cha Kuchunguza Ugaidi cha Ufaransa kimetangaza kuwa wanajeshi 30 wa nchi hiyo wamejiunga na makundi ya kigaidi katika nchi za Syria na Iraq.

  • Guterres asisitiza udharura wa kutumwa misaada ya kibinadamu Syria

    Guterres asisitiza udharura wa kutumwa misaada ya kibinadamu Syria

    Dec 17, 2019 03:28

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kutumwa misaada zaidi ya kibinadamu nchini Syria kupitia mipaka ya nchi kavu.

  • Safari ya Lavrov nchini Marekani, kuendelea tofauti kati ya Moscow na Washington

    Safari ya Lavrov nchini Marekani, kuendelea tofauti kati ya Moscow na Washington

    Dec 11, 2019 22:46

    Uhusiano wa Marekani na Russia hususan baada ya kuibuka mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, unashuhudia mivutano mingi ambapo Washington mbali na kukabiliana na Moscow katika uga wa masuala ya kiusalama, kijeshi na kisiasa pia imeiwekea mashinikizo makali Russia katika nyuga tofauti za kisiasa, kidiplomasia, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, mauzo ya silaha na nishati.

  • Bashar al Assad: Mustakbali wa Syria unatia matumaini

    Bashar al Assad: Mustakbali wa Syria unatia matumaini

    Dec 10, 2019 04:25

    Rais wa Syria ameitaja Ulaya, Marekani na baadhi ya nyingine nyingine kuwa pande kuu husika katika kuibua machafuko na ukosefu wa amani huko Syria na kusema mustakbali wa nchi yake unatia matumaini.

  • Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria

    Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria

    Dec 06, 2019 04:34

    Tangu mwaka 2014, Marekani imejiingiza kijeshi kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh; na hivi sasa pia, licha ya madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba imejiondoa kijeshi katika ardhi ya Syria, imeshatafuta kisingizio kingine kipya ili kurefusha muda wa kuweko askari wake nchini humo.

  • Jeshi la Syria latungua ndege isiyo na rubani ya Uturuki

    Jeshi la Syria latungua ndege isiyo na rubani ya Uturuki

    Nov 29, 2019 08:08

    Vyombo vya habari nchini Syria vimetangaza kwamba, jeshi la nchi hiyo limetungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la Uturuki katika viunga vya mji wa Qamishli, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Makumi ya raia wa Syria watekwa nyara katika mji wa al Hasakah

    Makumi ya raia wa Syria watekwa nyara katika mji wa al Hasakah

    Nov 28, 2019 08:01

    Wanamgambo wenye mfungamano na Uturuki wamewateka nyara makumi ya raia wa Syria katika mji wa al Hasakah kaskazini mashariki mwa Syria.

  • Madai ya kijuba ya Marekani kuwa eti inakalia visima vya mafuta vya Syria kisheria

    Madai ya kijuba ya Marekani kuwa eti inakalia visima vya mafuta vya Syria kisheria

    Nov 24, 2019 04:23

    Tokea mwaka 2014, Marekani iliingia nchini Syria kinyume cha sheria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la ISIS (Daesh). Kinyume na madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ataondoa askari wa Marekani walioko Syria, hivi sasa wanajeshi hao wameongeza muda wa kuwepo kwao katika nchi hiyo ya Kiarabu kwa kisingizio kingine.

  • Uturuki katika muamala wa hila na ujanja wa kupora maliasili za Syria

    Uturuki katika muamala wa hila na ujanja wa kupora maliasili za Syria

    Nov 21, 2019 04:20

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema, amelikataa pendekezo la kugawana utajiri wa mafuta ya Syria lililotolewa na baadhi ya madola ya kigeni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS