-
Mfumo wa ulinzi wa Syria watungua makombora ya Israel
Nov 20, 2019 04:12Mfumo wa ngao ya ulinzi ya jeshi la Syria umefanikiwa kutungua makombora ya utawala haramu wa Israel viungani mwa mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Damascus.
-
Mgombea urais Algeria: Syria inabidi irejee Arab League
Nov 11, 2019 23:28Abdel Qadir bin Qrina, mgombea urais katika uchaguzi ujao wa Algeria amesema kuwa iwapo atashinda uchaguzi huo, basi atafanya juhudi kuhakikisha Syria inarudi kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Sisitizo la jeshi la Marekani la kuendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Asia Magharibi
Nov 11, 2019 23:26Licha ya Rais Donald Trump kukariri mara chungu nzima kwamba, Washington itaondoa wanajeshi wake katika eneo la Asia Magharibi hususan katika nchi za Syria na Afghnaistan, lakini hali ya mambo ilivyo inaonyesha kuwa, Marekani imeazimia kubakisha na hata kuongeza idadi ya wanajeshi wake pamoja na zana za kijeshi katika eneo hili ikiwa ni katika kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kibabe.
-
Rais Bashar Al Assad: Yumkini Marekani haijamuua Baghdadi, bali imemficha
Nov 11, 2019 07:50Rais Bashar al-Assad wa Syria ametilia shaka madai ya Marekani kuwa imemuua kinara wa kundi la kigaidi la Daesh, Abu Bakr Baghdadi, na kusisitiza kwamba huenda kiongozi huyo wa ISIS amejificha au amefichwa sehemu fulani na serikali ya Washington.
-
Sisitizo jingine la Uturuki la kuendeleza operesheni za kijeshi kaskazini mwa Syria
Nov 10, 2019 07:56Licha ya makubaliano ya hivi karibuni kati ya Uturuki na Russia juu ya kuhitimishwa uvamizi wa kijeshi katika maeneo ya kaskazini na kaskazini mashariki mwa Syria, Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki hajakanusha suala la nchi yake kuendeleza operesheni za kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Juhudi za Ulaya za kujipapatua kutoka kwenye kinamasi cha shari za "Madaesh" wake
Nov 06, 2019 05:21Nchi kubwa za barani Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa zina mchango mkubwa wa kuundwa na kupata nguvu magenge mbalimbali ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) na lengo lao kubwa lilikuwa ni kuwatumia magaidi hao kuipindua serikali halali ya Syria. Hata hivyo nchi hizo zimefeli vibaya.
-
Uturuki yasema imemtia mbaroni dadake Abu Bakr Baghdadi
Nov 05, 2019 03:57Uturuki imetangaza habari ya kumtia mbaroni dada ya Abu Bakr al-Baghdadi, kinara wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) aliyejiua katika operesheni ya Marekani hivi karibuni.
-
UN: Rasimu ya katiba mpya ya Syria kuanza kuandikwa Jumatatu
Nov 03, 2019 04:27Umoja wa Mataifa umesema Kamati ya Katiba ya Syria itaanza kuandika rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo ya Kiarabu kesho Jumatatu.
-
Sisitizo la Lavrov juu ya mchango wa Marekani katika kudhihiri al Baghdadi na Daesh
Nov 02, 2019 23:02Baada ya kuanza mgogoro wa Syria hapo mwaka 2011 na vita vilivyosababishwa na mgogoro huo, Marekani ilikuwa na nafasi muhimu na kuu katika kuundwa na kujitokeza makundi ya kigaidi nchini humo hususan kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh; suala ambalo Washington imefanya jitihada kubwa za klificha kwa kuanzisha kile ilichodai ni muungano wa kupambana na Daesh.
-
Sisitizo la Rais Bashar al-Assad la kulindwa ardhi yote ya Syria
Nov 02, 2019 00:47Rais Bashar al-Assad wa Syria ameionya Uturuki na kuikosoa Marekani na kuzungumzia uwezekano wa Washington wa kuliunda tena kundi la kigaidi la Daesh na akasisitiza juu ya kulindwa ardhi yote ya nchi hiyo.