-
IFJ: Waandishi habari karibu mia moja wameuawa mwaka 2018 duniani
Jan 01, 2019 23:20Shirikisho la Kimataifa la Waandishi wa Habari (IFJ) limetangaza kuwa, waandishi habari 94 waliuawa mwaka uliomalizika wa 2018 katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza makamanda 30 wa Daesh nchini Syria
Jan 01, 2019 04:44Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia maficho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh mashariki mwa Syria na kuangamiza makanda wasiopungua 30 wa genge hilo la ukifurishaji.
-
Iran: Ulaya haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani + Video
Dec 31, 2018 11:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Ulaya imeonesha kivitendo kuwa haina nia ya kweli ya kukabiliana na mashinikizo ya Marekani.
-
Ayatullah Nouri Hamedani: Kutoka Wamarekani Syria ni ushindi kwa jamii nzima ya Waislamu
Dec 29, 2018 23:20Mmoja wa marajii na wanachuoni wakubwa wa Kiislamu wa madhehebu ya Kishia amesema kuwa, kutoka Wamarekani nchini Syria ni ushindi kwa jamii nzima ya Kiislamu.
-
Nchi za Kiarabu zaendelea kuipigia magoti Syria, Kuwait pia kurejesha ubalozi Damascus
Dec 29, 2018 04:38Serikali ya Kuwait imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Baada ya Imarati, Bahrain nayo yafungua tena ubalozi wake Syria
Dec 28, 2018 12:29Serikali ya Bahrain imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Imarati yafungua upya ubalozi wake nchini Syria baada ya miaka 7
Dec 27, 2018 11:34Umoja wa Falme za Kiarabu umefungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kuendelea kutapatapa Israel na kuzidi kugonga mwamba hujuma zake tasa dhidi ya Syria
Dec 26, 2018 22:54Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel, Jumanne usiku zilishambulia mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus, lakini zikakabiliwa na jibu kali la jeshi la nchi hiyo.
-
Russia: Marekani inakiuka azimio la UN kuhusu Syria
Dec 24, 2018 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Marekkani inaendelea kukiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kujitawala na uhuru wa Syria.
-
Ayatullah Amoli Larijani: Marekani imekimbia nchini Syria
Dec 24, 2018 11:29Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani ya kuondoa majeshi yeke Syria na kusema kuwa, Marekani imekimbia kutoka katika nchi hiyo ya Kiarabu.