Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • UN: Milima ya Golan ni ardhi ya Syria, Wazayuni wanaikalia kwa mabavu

    UN: Milima ya Golan ni ardhi ya Syria, Wazayuni wanaikalia kwa mabavu

    Dec 24, 2018 04:29

    Kwa mara nyingine tena, Baraza Kuu la Umoja wa Maraifa limepasisha kwa wingi wa kura azimio linalosisitiza kuwa, milima ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel ni ardhi isiyotenganishika na ardhi nyingine za Syria.

  • Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington

    Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington

    Dec 22, 2018 21:39

    Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.

  • Shambulio la muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani laua raia 30 nchini Syria

    Shambulio la muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani laua raia 30 nchini Syria

    Dec 22, 2018 04:33

    Raia wasiopungua 30 wakiwemo watoto wanane wameuliwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika mkoa wa Deir ez-Zor mashariki mwa Syria.

  • Karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magaidi katika nchi za Iraq na Syria

    Karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magaidi katika nchi za Iraq na Syria

    Dec 21, 2018 23:31

    Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kimetangaza kuwa, karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magenge ya kigaidi katika nchi za Iraq na Syria.

  • Russia: Marekani inawapa hifadhi magaidi katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu Syria

    Russia: Marekani inawapa hifadhi magaidi katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu Syria

    Dec 21, 2018 05:10

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Marekani inakwamisha juhudi za kutatua mgogoro wa Syria kwa kuendelea kuyakalia kwa mabavu baadhi ya maeneo ya nchi hiyo na kwamba magaidi wanapewa hifadhi katika maeneo yanayodhibitiwa na Marekani.

  • Bashar al Jaafari: Jamii ya kimataifa iisaidie Damascus kutokomeza ugaidi

    Bashar al Jaafari: Jamii ya kimataifa iisaidie Damascus kutokomeza ugaidi

    Dec 21, 2018 04:48

    Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ameitolea wito jamii ya kimataifa kusaidia kukomesha mashambulizi ya kigaidi nchini kwake.

  • Uamuzi wa Trump wa kuondoka askari wa Marekani nchini Syria

    Uamuzi wa Trump wa kuondoka askari wa Marekani nchini Syria

    Dec 20, 2018 07:06

    Baada ya kuanza mgogoro wa Syria mwaka 2011, Marekani kama kinara wa nchi za Magharibi ikishirikiana na Italia na Ufaransa katika jitihada za kutimiza malengo ya Magharibi na baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka kuangamiza kambi ya mapambano Mashariki ya Kati na kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria, ilijikita zaidi katika suala la kuyasaidia makundi ya kigaidi na waasi wanaobeba silaha kwa ajili ya eti kuiondoa madarakani serikali ya Rais Bashar Assad.

  • Daesh yafanya mauaji mengine ya kimbari, yaua wafungwa 700

    Daesh yafanya mauaji mengine ya kimbari, yaua wafungwa 700

    Dec 19, 2018 23:10

    Kundi la kigaidi la Daesh limefanya mauaji mengine ya kutisha huko mashariki mwa Syria kwa kuua wafungwa mia saba karibu na eneo lililoko kwenye mpaka wa nchi hiyo na Iraq.

  • Kukiri Marekani kushindwa siasa zake za kuipindua serikali ya Syria

    Kukiri Marekani kushindwa siasa zake za kuipindua serikali ya Syria

    Dec 18, 2018 23:18

    Mgogoro wa Syria na vita vya ndani vya nchi hiyo vilivyoanza mwaka 2011 vimeitumbukiza nchi hiyo ya Kiarabu katika mgogoro mkubwa. Suala hilo linatumiwa vibaya pia na madola ya kibeberu ya Magharibi yakiongozwa na Marekani kwa kushirikiana na vibaraka wake wa nchi za Kiarabu kama vile Saudi Arabia kumalizia hasira zao kwa taifa hilo.

  • Mazungumzo ya Iran, Russia na Uturuki kuhusu katiba ya Syria

    Mazungumzo ya Iran, Russia na Uturuki kuhusu katiba ya Syria

    Dec 18, 2018 04:06

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran leo ameelekea Geneva, Uswisi kwa lengo la kushiriki katika kikao cha pande tatu kuhusu katiba ya Syria

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS