Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Maneva makubwa ya kijeshi ya Russia Bahari ya Mediterranean, majibu kwa vitisho vinavyozidi kuongezeka vya Marekani dhidi ya Syria

    Maneva makubwa ya kijeshi ya Russia Bahari ya Mediterranean, majibu kwa vitisho vinavyozidi kuongezeka vya Marekani dhidi ya Syria

    Sep 02, 2018 01:26

    Ushindi mkubwa linaoendelea kuupata jeshi la Syria na waitifaki wake katika maeneo tofauti ya nchi hiyo, na hatua ya jeshi hilo ya kujiandaa hivi sasa kuusafisha mkoa wa Idlib kutokana na uchafu wa magenge ya kigaidi, imewatia kiwewe waungaji mkono wa magaidi hao yaani nchi za Magharibi na hasa Marekani. Mkoa wa Idlib ndiyo ngome ya mwisho wa magenge ya kigaidi nchini Syria.

  • Russia yaionya Marekani isicheze na moto Syria

    Russia yaionya Marekani isicheze na moto Syria

    Aug 31, 2018 02:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameionya Marekani isicheze na moto huko Syria kwa kuchochea hujuma bandia ya silaha za kemikali ili kuhalalisha shambulizi dhidi ya wanajeshi wa Syria

  • Russia yaionya tena Marekani juu ya kufanya shambulizi dhidi ya Syria

    Russia yaionya tena Marekani juu ya kufanya shambulizi dhidi ya Syria

    Aug 30, 2018 11:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameelezea uwezekano wa Marekani na washirika wake kufanya shambulizi dhidi ya Syria hasa kwa kuzingatia hatua ya kusogezwa zana za kijeshi za nch hiyo katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Mawaziri wa Ulinzi wa Russia na Uturuki wajadili hali ya mambo Syria

    Mawaziri wa Ulinzi wa Russia na Uturuki wajadili hali ya mambo Syria

    Aug 30, 2018 11:21

    Mawaziri wa Ulinzi wa Russia na Uturuki wamefanya mazungumzo kuhusu hali ya mambo nchini Syria.

  • Magaidi wa DAESH (ISIS) wamenyonga zaidi ya watu elfu tano nchini Syria

    Magaidi wa DAESH (ISIS) wamenyonga zaidi ya watu elfu tano nchini Syria

    Aug 30, 2018 03:24

    Kituo kiitwacho Uangalizi wa Haki za Binadamu nchini Syria kimeripoti kuwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh limeua kwa kuwanyonga watu zaidi ya elfu tano nchini humo.

  • Russia: Magaidi nchini Syria wamejiandaa kufanya shambulio la silaha za kemikali

    Russia: Magaidi nchini Syria wamejiandaa kufanya shambulio la silaha za kemikali

    Aug 27, 2018 03:16

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia ametangaza kuwa magaidi walioko nchini Syria wamejiandaa kufanya shambulio la silaha za kemikali katika kipindi cha siku hizi mbili.

  • Brigedia Jenerali Hatami: Mustakabali wa uwepo wa washauri wa Iran nchini Syria utatokana na matakwa ya pande mbili

    Brigedia Jenerali Hatami: Mustakabali wa uwepo wa washauri wa Iran nchini Syria utatokana na matakwa ya pande mbili

    Aug 26, 2018 10:22

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uwepo wa washauri wa Kiirani nchini Syria ambao umefanyika kwa ombi la serikali ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa mustakabali wa kuwepo washauri wa Iran nchini Syria utategemea irada na matakwa ya viongozi wa nchi mbili.

  • Russia yaionya Marekani kuhusiana na chokochoko ya aina yoyote nchini Syria

    Russia yaionya Marekani kuhusiana na chokochoko ya aina yoyote nchini Syria

    Aug 25, 2018 09:53

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imeionya Marekani kuhusiana na chokochoko ya aina yoyote ile nchini Syria.

  • Russia: Iran iko kihalali nchini Syria na sisi tunaliheshimu hilo

    Russia: Iran iko kihalali nchini Syria na sisi tunaliheshimu hilo

    Aug 24, 2018 21:50

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov amesema kuwa nchi yake inaheshimu uwepo wa Iran nchini Syria kwani iko huko kihalali na kwa mwaliko wa serikali halali ya nchi hiyo.

  • Njama mpya za magaidi wa Syria za kupeleka gesi ya sumu katika mkoa wa Idlib

    Njama mpya za magaidi wa Syria za kupeleka gesi ya sumu katika mkoa wa Idlib

    Aug 24, 2018 21:50

    Genge la watu wanaovaa kofia nyeupe ambalo lina mfungamano na mashirika ya kijasusi ya Uingereza na Marekani limefanya njama mpya dhidi ya Syria kwa kupeleka shehena ya gesi ya sumu aina chlorine katika mji wa Jisr al-Shughur mkoani Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS