-
Damascus yagundua hospitali ya Israel waliyojengewa magaidi kusini mwa Syria
Aug 23, 2018 10:36Jeshi la Syria limegundua hospitali moja ya jangwani iliyokuwa inatumiwa na genge la kigaidi la Jabhat Fat'h al Sham ambalo zamani likuwa likijulikana kwa jina la Jab'hat al Nusra. Hospitali hiyo ambayo imejaa dawa na vifaa vilivyotengezwa Israel imegunduliwa katika mkoa wa Quneitra uliokombolewa hivi karibuni kusini mwa Syria.
-
Wizara ya Ulinzi ya Russia: Zaidi ya asilimia 96 ya ardhi ya Syria imekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi
Aug 22, 2018 09:57Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa zaidi ya asilimia 96 ya ardhi ya Syria imesha kombolewa kutoka kwenye makucha ya magaidi.
-
Saudia imeupatia dola milioni 100 muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Syria
Aug 17, 2018 10:57Duru za habari zimeeleza kuwa, utawala wa Kifalme wa Aal-Saudi nchini Saudi Arabia umeupatia kiasi cha Dola milioni 100 muungano wa kimataifa wa kijeshi wa eti kupambana Daesh unaoongozwa na Marekani nchini Syria.
-
Marekani yaendelea kukiuka haki ya kujitawala Syria, yataka kujenga uwanja wake wa kijeshi
Aug 16, 2018 08:47Habari kutoka Syria zimeripoti kwamba, askari vamizi wa Marekani wanakusudia kujenga uwanja wao wa kijeshi katika eneo la al-Shaddadi la jimbo la Al-Hasakah nchini humo.
-
Syria yafichua njama za watawala wa nchi za Kiarabu
Aug 14, 2018 03:14Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal Miqdad amesema kuwa, baadhi ya nchi za Kiarabu zimewapatia magaidi kiasi cha dola bilioni 137 kwa shabaha ya kuiharibu Syria.
-
Hasara ya dola bilioni 400 iliyosababishwa na magaidi nchini Syria
Aug 10, 2018 01:26Umoja wa Mataifa umesema kuwa, hasara iliyosababishwa na vita vya zaidi ya miaka saba sasa nchini Syria ni karibu dola bilioni 400.
-
Abdollahian: Kukombolewa miinuko ya Golan ya Syria ni jambo linalowezekana
Jul 29, 2018 03:30Mshauri maalumu wa Spika wa bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema: kukombolewa miinuko ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu kunawezekana kwa juhudi za wananchi wa Syria.
-
Kukombolewa mji wa Quneitra, dakika za mwisho za uhai wa makundi ya kigaidi Syria
Jul 28, 2018 01:58Juzi tarehe 26 Julai Jeshi la Syria na waitifaki wake liliingia katika mji wa Quneitra baada ya kukomboa mji huo kutoka kwenye makucha ya makundi ya kigaidi.
-
Mashauriano ya Lavrov na Merkel kuhusu Syria
Jul 25, 2018 22:33Tangu mwezi Disemba mwaka 2015 Russia ilituma majeshi katika nchi ya Syria kwa ajili ya kupambana na makundi ya kigaidi na vilevile kuisaidia serikali halali ya nchi hiyo.
-
Moscow: Operesheni za Marekani huko Syria ni kinyume cha sheria
Jul 25, 2018 09:17Wizara ya Ulinzi ya Russia imesisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani hawana haki yoyote ya kisheria ya kuendesha oparesheni zaidi huko Syria.