-
Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria
Apr 14, 2018 02:45Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimelaani vikali mashambulizi ya makombora ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria huku zikitoa onyo kali juu ya matokeo mabaya ya hujuma hiyo ya kijeshi dhidi ya nchi huru.
-
Watafiti wa Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali wawasili Syria ili kubaini madai ya Marekani
Apr 13, 2018 02:46Watafiti kutoka Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali, wameingia nchini Syria kwa ajili ya kuanzisha uchunguzi kuhusiana na madai yanayotolewa na Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi juu ya kutumiwa silaha hizo katika mji wa Duma, huko Ghouta Mashariki.
-
White House: Hadi sasa Trump hajachukua maamuzi yoyote kuhusu Syria
Apr 12, 2018 23:40Msemaji wa Ikulu ya Marekani (White House) Sarah Huckabee Sanders amesema kuwa, hadi sasa rais wa nchi hiyio Donald Trump hajachukua maamuzi ya mwisho kuhusu Syria, licha ya kufanya kikao na timu ya usalama wa taifa katika ikulu ya nchi hiyo.
-
Kremlin yajibu Twitter ya Trump: Makombora erevu yanapaswa kuelekezwa kwa magaidi, si kwa serikali halali
Apr 12, 2018 10:25Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin amesema Moscow Russia haishiriki katika udiplomasia wa Twitter.
-
Russia: Vikosi vya Syria vyaikomboa Douma na Ghouta yote ya Mashariki
Apr 12, 2018 02:53Russia imesema kuwa jeshi la Syria limeukomboa mji wa Douma; mji wa mwisho huko Ghouta ya Mashariki kuwa chini ya udhibiti wa magaidi.
-
Abdollahian: Marekani imekasirishwa na kusambaratishwa magaidi wa Daesh nchini Syria
Apr 11, 2018 22:03Mshauri wa Masuala ya Kimataifa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kusambaratishwa magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Syria kumeikasirisha sana Marekani na kwamba vitisho vinavyotolewa hivi sasa na Washington dhidi ya Damascus vina shabaha ya kuhamisha mazungumzo ya Astana na Sochi na kuyapelekea Vienna na Geneva kwa lengo la kudhamini malengo ya Marekani.
-
Jeshi la Syria lateka na kuwashikilia wanajeshi vamizi wa Uingereza Ghouta Mashariki
Apr 11, 2018 22:02Shirika rasmi la habari la Syria limetangaza kuwa wanajeshi kadhaa wa Uingereza wanashikiliwa mateka kufuatia operesheni iliyofanywa na jeshi la Syria huko Ghouta Mashariki katika viunga vya Damascus.
-
Velayati: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria yatajibiwa
Apr 11, 2018 09:13Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa jinai iliyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya kituo cha anga cha T-4 nchini Syria hayatapita hivihivi bila ya kujibiwa.
-
Maazimio matatu kuhusu Syria yafeli katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Apr 11, 2018 03:12Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa jana usiku lilipigia kura maazimio matatu kuhusu matukio ya hivi karibuni Syria lakini yote hayakupata kura za kutosha.
-
Syria: Sheria za kimataifa hazina thamani yoyote kwa Marekani
Apr 11, 2018 00:06Balozi na mwakilishi wa Syria katika Umoja wa Mataifa amekosoa matamshi ya vitisho yaliyotolewa na Marekani katika Baraza la Usalama la umoja huo na kueleza kuwa baraza hilo na misingi ya sheria za kimataifa havina thamani yoyote ile kwa nchi hiyo.