-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja
Aug 05, 2022 07:10Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Iran kwa sera ya "China Moja" na kusema: 'Hatua za kichochezi za Marekani zimekuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa kimataifa.'
-
China yafanya maneva ambayo hayajawahi kushuhudiwa karibu na Taiwan
Aug 04, 2022 10:49China imefyatua makombora kadhaa ya balestiki kuelekea maji yanayoizunguka Taiwan katika mazoezi makubwa ya kijeshi kuwahi kushuhudiwa, likiwa ni jibu kwa ziara iliyofanywa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi katika kisiwa hicho.
-
Radiamali ya Iran, China kwa safari ya Pelosi katika kisiwa cha Taiwan
Aug 03, 2022 12:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa safari ya Nancy Pelosi, Spika wa Kongresi ya Marekani katika kisiwa cha Taiwan na kubainisha kuwa, ziara hiyo ni muendelezo wa mienendo ya kichokozi na kichokezi ya Washington.
-
Taiwan kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na US licha ya onyo la China
Jul 30, 2022 03:44Wizara ya Mambo ya Ndani ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Taiwan imesisitiza kuwa Taipei itaimarisha uhusiano wa ushirikiano wake wa kijeshi na Marekani licha ya onyo kali lililotolewa hivi karibuni na Rais Xi Jinping wa China.
-
China na Taiwan kwenye mzingo wa mivutano iliyoibuliwa na Washington
Jul 25, 2022 11:31Ziara iliyopangwa kufanywa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani na misaada ya silaha Washington kwa Taiwan vimezidisha hali ya wasiwasi katika Bahari ya China.
-
Onyo la China kwa Marekani iwapo Spika Pelosi atazuru Taiwan
Jul 20, 2022 02:19China imeionya vikali Washington na kusisitiza kuwa itachukua 'hatua za nguvu' iwapo Spika wa Kongresi ya Marekani Nancy Pelosi atafanya safari ya kuitembelea Taiwan mwezi ujao wa Agosti.
-
China: Kuwepo kijeshi Marekani katika Ghuba ya Taiwan ni tishio kwa amani ya dunia
Jun 26, 2022 02:27Afisa mmoja wa jeshi la China amesema, kuruka ndege za kivita na za ugunduzi za Marekani katika anga ya Ghuba ya Taiwan ni kitendo cha kichochezi na tishio kwa amani ya dunia.
-
China yawaasa viongozi wa Marekani wachunge kauli zao kuhusiana na Taiwan
May 24, 2022 07:18China imetoa jibu kali dhidi ya uingiliaji wa waziwazi wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo. Beijing imewaasa viongozi wa Washington wachunge kauli wanazotoa kuhusiana na Taiwan.
-
China yalaani uchokozi wa meli ya kivita ya Marekani katika Njia Bahari ya Taiwan
Feb 27, 2022 08:04China imeutaja kuwa ni "uchochezi" hatua ya kupita meli ya kivita ya Marekani katika Lango Bahari la Taiwan ambalo ni nyeti kimkakati, kwani inatenganisha eneo la Taipei ya China (Taiwan) linalojitawala na China Bara.
-
Rais wa Russia: China haihitaji kutumia nguvu za kijeshi ili kuungana tena na Taiwan
Oct 14, 2021 12:58Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, chaguo la kijeshi halihitajiki kuwa mbadala wa njia ya amani ili kuiwezesha China kuungana na Taiwan.