-
Kuvunjika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani
Jan 19, 2020 23:48Msemaji wa ikulu ya Afghanistan ametangaza habari ya kutofikiwa mapatano katika mazungumzo kati ya kundi la Taliban na Marekani nchini Qatar.
-
Mazungumzo eti ya amani kati ya Marekani na Taleban huko Qatar yavunjika
Jan 17, 2020 23:25Waziri wa Serikali Katika Masuala ya Afghanistan, amesema kuwa mazungumzo eti ya 'amani' kati ya Marekani na kundi la Taleban yanayofanyika nchini Qatar, yamevunjika.
-
Taliban yataka kutekelezwa vipengee vya makubaliano ya Qatar
Oct 19, 2019 02:10Msemaji wa Idara ya Siasa ya kundi la Talibal la Afghanistan amesema kuwa Marekani inakwamisha utekelezwaji wa makubaliano ya Qatar.
-
Indhari kuhusu kujiunga viongozi wa Taliban na kundi la Daesh huko Afghanistan
Oct 06, 2019 04:31Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Afghanistan ametahadharisha kuhusu kujiunga viongozi wa kundi la Taliban na kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Trump afutilia mbali kikao cha siri na Taliban
Sep 09, 2019 01:33Katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa rais wa Marekani, Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliahidi kuwaondoa askari wote wa Marekani wanaohudumu Afghanistan.
-
Sisitizo la Trump la kuendelea kuwepo askari wa Marekani nchini Afghanistan
Aug 31, 2019 02:08Miaka 18 iliyopita Marekani iliishambulia na kuivamia kijeshi Afghanistan na kisha ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo kwa kisingizio cha kulipiza kisasi cha mashambulio ya Septemba 11, mwaka 2001 na pia kupambana na ugaidi nchini humo. Wakati rais wa sasa wa Marekani Donald Trump alipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi wa urais mwaka 2016 na baada ya kuingia Ikulu ya White House aliahidi kwamba atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Syria na Afghanistan, hata hivyo hadi sasa amehalifu ahadi yake hiyo.
-
Sisitizo la Rais wa Afghanistan la kufanyika mazungumzo ya ana kwa ana na kundi la Taliban tena bila masharti
Jul 13, 2019 03:19Rais Muhammad Ashraf Ghani wa afghanistan amesisitiza juu ya ulazima wa kuweko mazungumzo ya ana kwa ana baina ya serikali ya Kabul na kundi la wanamgambo wa Taliba na tena bila masharti.
-
Kundi la Taleban lawateka nyara viongozi wa msafara wa amani nchini Afghanistan
Jun 05, 2019 03:08Wanachama wa kundi la Taleban wamewateka nyara viongozi wanaojihusisha na kampeni za amani nchini Afghanistan wakati wa matembezi ya amani.
-
Taliban yatangaza utayari wa kufanya mazungumzo ya amani kwa masharti na serikali ya Afghanistan
Feb 23, 2019 23:15Msemaji wa kundi la Taliban amesema, kundi hilo liko tayari kwa masharti kufanya mazungumzo ya amani na serikali ya Afghanistan.
-
Taleban: Hatujahusika na mripuko wa sherehe za Maulidi mjini Kabul, Afghanistan
Nov 21, 2018 12:27Msemaji wa kundi la Taleban amekanusha kuhusika kwa aina yoyote kundi hilo katika mripuko wa kigaidi uliotokea kwenye sherehe za maulidi ya Mtume (saw) huko Kabul, mji mkuu wa nchi hiyo.