Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Tanzania yabadilisha tarehe ya kumzika Magufuli, hayati ameagwa leo Dar es Salaam

    Tanzania yabadilisha tarehe ya kumzika Magufuli, hayati ameagwa leo Dar es Salaam

    Mar 20, 2021 08:48

    Ibada ya wafu ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli imefanyika leo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

  • Iran yatoa mkono wa pole kwa Tanzania kufuatia kifo cha Rais Magufuli

    Iran yatoa mkono wa pole kwa Tanzania kufuatia kifo cha Rais Magufuli

    Mar 20, 2021 01:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za mkono wa pole kwa wananchi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli.

  • Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa rais wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa rais wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki

    Mar 19, 2021 12:20

    Samia Suluhu Hassan, leo ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kufuatia kifo cha rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli kilichotokea siku ya Jumatano.

  • Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania afariki dunia

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania afariki dunia

    Mar 17, 2021 23:43

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam ambako alikuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

  • Tanzania kuisaidia Burundi kujiunga na jumuiya ya SADC

    Tanzania kuisaidia Burundi kujiunga na jumuiya ya SADC

    Mar 06, 2021 04:46

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi ameiahidi nchi ya Burundi kuwa Tanzania itashirikiana nayo katika harakati zake za kuomba kujiunga na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

  • BAKWATA lawaagiza Watanzania kumtegemea Mungu na kutumia utaalamu wa kisayansi ili kuishinda tena Corona

    BAKWATA lawaagiza Watanzania kumtegemea Mungu na kutumia utaalamu wa kisayansi ili kuishinda tena Corona

    Feb 15, 2021 00:26

    Watanzania na Waislamu wote nchini humo wameaswa kumrejea Mwenyezi Mungu kwa kusali na kutubu ili awaepushe na maradhi ya mripuko hususan katika kipindi hiki cha mripuko wa janga la dunia nzima la Corona.

  • Corona: Tanzania kuanza kampeni ya 'kupiga nyungu' wiki nzima

    Corona: Tanzania kuanza kampeni ya 'kupiga nyungu' wiki nzima

    Jan 30, 2021 23:29

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa nchini Tanzania, Selemani Jafo ametangaza kuanza kampeni ya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona juma lijalo.

  • Rais wa Tanzania amteua naibu waziri mpya wa madini, wa kwanza alishindwa kuapa

    Rais wa Tanzania amteua naibu waziri mpya wa madini, wa kwanza alishindwa kuapa

    Dec 11, 2020 04:26

    Rais John Magufuli wa Tanzania amemteua naibu waziri mwingine wa madini baada ya ule aliyekuwa ameteuliwa awali kusita wakati wa kula kiapo.

  • Lissu aondoka Tanzania kuelekea Ubelgiji akisindikizwa na maafisa wa ubalozi wa Ujerumani

    Lissu aondoka Tanzania kuelekea Ubelgiji akisindikizwa na maafisa wa ubalozi wa Ujerumani

    Nov 10, 2020 12:49

    Tundu Antipas Lissu, aliyegombea urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28 kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameondoka nchini humo kwenda Ubelgiji.

  • Lema aomba hifadhi Kenya, Amnesty yasema asirejeshwe Tanzania

    Lema aomba hifadhi Kenya, Amnesty yasema asirejeshwe Tanzania

    Nov 09, 2020 09:30

    Mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tanzania Godbless Lema amekamatwa na maafisa wa polisi Kenya baada ya kuingia nchini humo kinyume cha sheria kwa lengo la kuomba hifadhi ya kisaisa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS