Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Polisi ya Tanzania yamtia mbaroni Sheikh Ponda kwa tuhuma za uchochezi

    Polisi ya Tanzania yamtia mbaroni Sheikh Ponda kwa tuhuma za uchochezi

    Jul 12, 2020 03:21

    Jeshi la Polisi la Tanzania limemtia mbaroni Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini humo, Sheikh Ponda Issa Ponda kwa madai ya uchochezi.

  • Waislamu Tanzania wataka uchaguzi huru na wa haki, wataja sifa za wagombea

    Waislamu Tanzania wataka uchaguzi huru na wa haki, wataja sifa za wagombea

    Jul 09, 2020 11:02

    Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania ametoa mwito wa kufanyika uchaguzi huru na wa haki mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo.

  • Tanzania yafunga vituo vya COVID-19 kwa kukosa wagonjwa wapya

    Tanzania yafunga vituo vya COVID-19 kwa kukosa wagonjwa wapya

    Jul 04, 2020 03:21

    Wizara ya Afya ya Tanzania imetangaza habari ya kufunga vituo 74 kati ya 85 vilivyokuwa vimetengwa makhsusi kwa ajili ya wagonjwa wa COVID-19 baada ya kukosa kupokea wagonjwa wapya, huku ikisisitiza kuwa janga la corona limepungua kwa kiasi kikubwa nchini humo.

  • Ajali ya boti yaua watu Ziwa Tanganyika nchini Tanzania

    Ajali ya boti yaua watu Ziwa Tanganyika nchini Tanzania

    Jun 26, 2020 11:33

    Watu wasiopungua tisa wamefariki na wengine 51 wamejeruhiwa baada ya meli kuzama katika Ziwa la Tanganyika nchini Tanzania.

  • Magufuli achukua fomu Kuwania urais 2020, Hussein Mwinyi naye ajitosa katika kinyang'anyiro Zanzibar

    Magufuli achukua fomu Kuwania urais 2020, Hussein Mwinyi naye ajitosa katika kinyang'anyiro Zanzibar

    Jun 17, 2020 09:25

    Rais John Magufuli wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asubuhi leo Jumatano amechukua fomu ya kuwania kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka huu.

  • Rais wa Tanzania: Shule zote zifunguliwe Juni 29, aruhusu harusi

    Rais wa Tanzania: Shule zote zifunguliwe Juni 29, aruhusu harusi

    Jun 16, 2020 07:54

    RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli ameagiza shule zote nchini humo zifunguliwe tarehe 29 Juni 2020 baada ya kuwepo kwa mwenendo mzuri wa maambukizi machache ya ugonjwa wa Corona.

  • SAUTI, Mufti wa Tanzania Abubakar Zubeir atoa mwongozo kuhusu Corona, Waislamu Kenya walaani mauaji ya polisi wa nchi hiyo dhidi ya baba na watoto wake wawili

    SAUTI, Mufti wa Tanzania Abubakar Zubeir atoa mwongozo kuhusu Corona, Waislamu Kenya walaani mauaji ya polisi wa nchi hiyo dhidi ya baba na watoto wake wawili

    Jun 05, 2020 11:35

    Ripoti ya matukio ya Kiislamu inahusu mwongozo uliotolewa na Mufti wa Tanzanua Sheikh Abubakar Zubeir Ali leo Ijumaa kuhusiana na ugonjwa wa Corona ambapo amemshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuitikia Dua za watanzania.

  • Tanzania yamuita Kaimu Balozi wa Marekani ajieleze kuhusu taarifa za corona

    Tanzania yamuita Kaimu Balozi wa Marekani ajieleze kuhusu taarifa za corona

    May 27, 2020 03:34

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Tanzania imemuita Kaimu Balozi wa Marekani nchini humo, Dakta Imni Patterson atoe ufafanuzi kuhusu taarifa ambazo amekuwa akiziandika kwenye mitandao yake ya kijamii bila uthibitisho.

  • Waziri wa Afya wa Tanzania: Mashine moja ya kupima Corona ilikuwa na matatizo

    Waziri wa Afya wa Tanzania: Mashine moja ya kupima Corona ilikuwa na matatizo

    May 23, 2020 11:14

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Tanzania Ummy Mwalimu ametoa taarifa kuhusu uchunguzi uliofanywa kuilenga maabara ya taifa ambapo ameeleza mambo kadhaa yaliyogunduliwa na kamati teule ya uchunguzi huo.

  • Tanzania yafungua anga na kuruhusu ndege kuendelea kuingia na kutoka nchi hiyo

    Tanzania yafungua anga na kuruhusu ndege kuendelea kuingia na kutoka nchi hiyo

    May 18, 2020 11:07

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  imetangaza rasmi kufungua anga yake na kuruhusu ndege zote kuendelea kutua au kupita katika anga ya nchi hiyo baada ya kufungwa kuanzia tarehe 7 Mei mwaka huu katika jitihada za kukabiliana na kuenea kwa virusi vya Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS