-
Freeman Mbowe: Katika matatizo ndani ya chama Lowassa alilegea kuliko mlenda
May 20, 2019 03:18Kiongozi wa chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Freeman Mbowe amesema kuwa, katika dhoruba za miaka mwili ambazo alizishuhudia wakati akiwa ndani ya chama hicho Edward Lowassa, Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, alilegea kuliko mlenda.
-
SAUTI, Rais John Magufuli Tanzania: Huwezi kupata utajiri wa haraka kwa kupandisha bei bidhaa ndani ya Ramadhani
May 19, 2019 12:54Rais wa John Pombe Magufuli wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka Watanzania wenye kupandisha bei za bidhaa zinazotumika zaidi ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani waache tabia hiyo mara moja, kama ambavyo pia ametaka kuwepo usimamizi stahiki kuhusiana na suala hilo.
-
Serikali ya Tanzania: Maduka ya kubadilisha fedha yataanza shughuli zake hivi karibuni
May 18, 2019 03:33Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni nchini humo yataanza shughuli zake hivi karibuni.
-
SAUTI, Mufti wa Tanzania: Uislamu ni dini ya amani sana haitambui ugaidi na Waislamu Kenya wawataka polisi kutowasakama na ugaidi
May 10, 2019 10:23Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi amewataka Waislamu wa nchi hiyo kukataa kuwa sehemu ya mifaranakano katika jamii na badala yake wawe wamoja na hivyo wafanikishe kuleta maendeleo.
-
Serikali ya Tanzania: Watanzania puuzeni ripoti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya uchumi
May 10, 2019 09:22Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewataka wananchi kutozingatia ripoti iliyovuja ya Shirika la Fedha Duniani (IMF).
-
Albino kuandamana Tanzania kulaani jinai wanazofanyiwa
Apr 28, 2019 13:28Chama cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino) nchini Tanzania kimeazimia kufanya maandamano ya kulaani jinai wanazofanyiwa ikiwemo ufukuaji wa makaburi ya watu wenye ulemavu huo na kuondoka na viungo vyao. Uovu huo uko zaidi mkoani Mbeya. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam, Tanzania...
-
Kimbunga cha Kenneth kufika kusini mwa Tanzania usiku wa leo, tahadhari zachukuliwa + Sauti
Apr 25, 2019 12:12Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imetangaza kuwa, kimbunga Kenneth kimeongezeka kasi na kinatarajiwa kufika pwani ya kusini ya Tanzania na kaskazini mwa Msumbiji kuanzia usiku wa leo. Hadi sasa wameshapokelewa watu takribani mia sita katika eneo la hifadhi. AMARI DACHI na taarifa zaidi akiripoti kutoka Dar es Salaam
-
Mvua, mafuriko na maporomoko ya ardhi yaua makumi ya watu Tanzania na Uganda
Apr 24, 2019 03:29Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika nchi za Afrika Mashariki zimesababisha vifo vya makumi ya watu katika nchi za Uganda na Tanzania.
-
Serikali ya Tanzania: Hatujazuia kuchapishwa ripoti ya IMF, bado tunafanya majadiliano nao
Apr 23, 2019 09:50Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema kuwa bado inaendelea kufanya majadiliano na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusiana na ripoti ya hivi karibuni ya shirika hilo kuulenga uchumi wa nchi hiyo.
-
SAUTI, Ripoti ya matukio ya Kiislamu, madrasa zatakiwa kuwa na mtaala mmoja, Mufti wa Tanzania asema; Uislamu haukatazi uzazi wa mpango
Apr 19, 2019 13:51Ripoti ya matukio ya Kiislamu iliyoandaliwa na mwandishi wetu wa visiwani Zanzibar, Harith Subeit. Inaanza kuangazia macho sisitizo la uwepo wa mitaala ya kufundishia kwa ajili ya madrasa zote visiwani Zanzibar.