Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Tanzania na Morocco zasaini mikataba ya ushirikiano katika maeneo zaidi ya 20

    Tanzania na Morocco zasaini mikataba ya ushirikiano katika maeneo zaidi ya 20

    Oct 26, 2016 01:10

    Tanzania na Morocco zimesaini mikataba ya kushirikiana katika nyanja zaidi ya 20.

  • Bakwata: Watanzania kunufaika na bidhaa zenye nembo

    Bakwata: Watanzania kunufaika na bidhaa zenye nembo "Halal"

    Oct 25, 2016 04:40

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema kila Mtanzania karibuni hivi atanufaika na bidhaa zenye nembo ya Halal, ambapo wapo mbioni kuijumuisha nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwenye orodha ya nchi 33 ambazo zinatumia bidhaa halali za vyakula na vinywaji.

  • Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU

    Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU

    Oct 20, 2016 10:04

    Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ameanza ziara ya nchi tatu za Afrika Mashariki katika juhudi za kutafuta uungaji mkono wa kurejea nchi hiyo kuwa mwananchama wa Umoja wa Afrika, baada ya kujiondoa kwenye umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.

  • Mkutano kuhusu haki za wanawake waanza Tanzania

    Mkutano kuhusu haki za wanawake waanza Tanzania

    Oct 12, 2016 04:05

    Wanawake kutoka nchi kadhaa za Afrika wanakongamana mjini Moshi nchini Tanzania katika mkutano wa kujadili haki za mwanamke, hususan haki ya kumiliki ardhi na maliasili.

  • SAUTI: Serikali ya Tanzania yaendelea kuwashawishi wafanyabiashara wa nchi jirani kutumia bandari ya Dar es Salaam, Tanga

    SAUTI: Serikali ya Tanzania yaendelea kuwashawishi wafanyabiashara wa nchi jirani kutumia bandari ya Dar es Salaam, Tanga

    Oct 11, 2016 13:43

    Serikali ya Tanzania imeendelea kuboresha miundombinu katika bandari zake za jijini Dar es Salaam na Tanga ili kuzivutia nchi majirani zisizokuwa na bandari kuweza kutumia bandari hizo.

  • Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania, Rwanda unastawi kwa wastani

    Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania, Rwanda unastawi kwa wastani

    Sep 30, 2016 03:33

    Benki ya Dunia imetoa ripoti ya ustawi wa uchumi wa Afrika ambapo nchi za Afrika Mashariki za Tanzania na Rwanda zinaonekana kuwa na uchumi wenye kustawi kwa wastani.

  • SAUTI: Wanachama CUF TZ: Mgogoro uliopo chamani utatuliwe kwa pande hasimu kuheshimu katiba ya chama

    SAUTI: Wanachama CUF TZ: Mgogoro uliopo chamani utatuliwe kwa pande hasimu kuheshimu katiba ya chama

    Sep 29, 2016 14:52

    Wanachama wa chama cha Wananchi CUF nchini Tanzania, wamewataka viongozi wanaohasimiana, kutanzua mgogoro uliopo wa kwa kuchunga misingi ya katiba ya chama hicho.

  • SAUTI: Vutanikuvute ndani ya chama cha CUF Tanzania zaendelea huku Profesa Lipumba akipigwa kalamu nyekundu

    SAUTI: Vutanikuvute ndani ya chama cha CUF Tanzania zaendelea huku Profesa Lipumba akipigwa kalamu nyekundu

    Sep 27, 2016 13:34

    Katika kikao kilichoitishwa na kamati ya utendaji ya chama cha CUF, kulijadiliwa masuala mbalimbali ikiwemo uamuzi dhidi ya Profesa Lipumba.

  • Viongozi wa dini Tanzania: Serikali ifanye tathmini ya madhara ya tetemeko kwa usawa

    Viongozi wa dini Tanzania: Serikali ifanye tathmini ya madhara ya tetemeko kwa usawa

    Sep 16, 2016 00:03

    Viongozi wa dini mkoani Kagera nchini Tanznaia wameishauri serikali kuwashirikisha wananchi katika zoezi la kutathmini madhara, yaliyotokana na tetemeko la ardhi mkoani humo kwa usawa, na kwamba hadi sasa baadhi ya maeneo, hayajafikiwa na kufanyiwa tathmini hiyo.

  • Malaysia yathibitisha mabaki ya ndege yaliyopatikana Tanzania ni ya ndege yake iliyotoweka

    Malaysia yathibitisha mabaki ya ndege yaliyopatikana Tanzania ni ya ndege yake iliyotoweka

    Sep 15, 2016 11:26

    Waziri wa Usafirishaji wa Malaysia amesema kuwa kipande kikubwa cha sehemu ya ndege kilichopatikana katika kisiwa cha Pemba nchini Tanzania mwezi Juni mwaka huu ni cha ndege yake ya Boeing 777 iliyotoweka zaidi ya miaka miwili iliopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS