-
TLP: Serikali ya SMZ ikifungie ruzuku chama cha CUF hadi kijirekebishe
Aug 24, 2016 23:56Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) nchini humo, kimemuandikia barua Rais wa Mapinduzi wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na kumtaka kuanzia sasa amtenge Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kwa kutomualika kwenye shughuli zozote za kitaifa.
-
TRA Tanzania kupita nyumba hadi nyumba kuchunguza upangishaji
Aug 06, 2016 00:05Katika hali ya kushangaza, Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania (TRA), imetangaza kuwa itaanza kutembelea nyumba hadi nyumba kuhakiki gharama za upangishaji kwa lengo la kukokotoa na kukusanya kodi sahihi ambazo zilikuwa hazifiki serikalini.
-
Makumi ya familia za Warundi zarejea nyumbani
Aug 04, 2016 10:37Gavana wa mkoa mmoja kaskazini mashariki mwa Burundi ametangaza habari ya kurejea mamia ya familia za raia wa Burundi waliokuwa wamekimbilia nchini Tanzania.
-
Ripoti: Uganda yaongoza kwa visa vya uhalifu Afrika Mashariki
Jul 26, 2016 12:25Utafiti mpya umefichua kuwa, Uganda ndiyo inayoongoza kwa visa vya uhalifu wa kutumia silaha za moto katika kanda ya Afrika Mashariki.
-
Bunge la Afrika Mashariki lamuenzi Hafsa Mossi
Jul 21, 2016 09:22Bunge la Afrika Mashariki EALA limefanya kikao maalumu asubuhi ya leo mjini Arusha Tanzania, kwa ajili ya kumuenzi Hafsa Mossi, mwakilishi wa Burundi katika bunge hilo la kieneo ambaye aliuawa wiki jana mjini Bujumbura.
-
Walionaswa na meli ya madawa ya kulevya yenye usajili wa Tanzania watiwa hatiani
Jul 14, 2016 23:41Watu wawili raia wa Uturuki walionaswa mwaka jana kwenye ufukwe wa Aberdeen, Scotland na meli iliyokuwa imebeba tani tatu za dawa za kulevya aina ya cocaine huku ikiwa na usajili wa nchini Tanzania, wamekutwa na hatia mahakamani nchini Scotland.
-
Waislamu Tanzania watakiwa kusherehekea Idul Fitr kwa namna inayokubalika
Jul 05, 2016 02:48Huku Waislamu wakijiandaa kwa ajili ya sherehe za Iddil-Fitri kutokana na kuelekea kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuadhimisha sherehe hizo kwa Amani na utulivu. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, ambapo pia amewataka Waislamu hao kujiepusha kumuasi Mwenyezi Mungu katika sherehe hizo….
-
Sheikh Hemedi Jalala: Walimwengu wanapaswa kupinga ukandamizaji dhidi ya Wapalestina
Jul 02, 2016 00:08Walimwengu wametakiwa kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na kupaza sauti za kupinga dhulma, unyanyasaji na mauaji yanayofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Watanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds
Jul 01, 2016 10:57Wananchi wa Tanzania wameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds hii leo ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni katika kuonyesha mshikamano wao na muqawama wa wananchi wa Palestina mbele ya maghasibu Wazayuni.
-
Rais Magufuli: Polisi ongezeni juhudi kiutendaji kumaliza ujambazi
Jun 26, 2016 03:30Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amewataka polisi wa nchi hiyo kuongeza juhudi katika utendaji kazi wao ili kukabiliana na uhalifu nchini.