Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Sheikh Hemedi Jalala: Walimwengu wanapaswa kupinga ukandamizaji dhidi ya Wapalestina

    Sheikh Hemedi Jalala: Walimwengu wanapaswa kupinga ukandamizaji dhidi ya Wapalestina

    Jul 02, 2016 00:08

    Walimwengu wametakiwa kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina na kupaza sauti za kupinga dhulma, unyanyasaji na mauaji yanayofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Watanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds

    Watanzania waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jul 01, 2016 10:57

    Wananchi wa Tanzania wameadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds hii leo ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani ikiwa ni katika kuonyesha mshikamano wao na muqawama wa wananchi wa Palestina mbele ya maghasibu Wazayuni.

  • Rais Magufuli: Polisi ongezeni juhudi kiutendaji kumaliza ujambazi

    Rais Magufuli: Polisi ongezeni juhudi kiutendaji kumaliza ujambazi

    Jun 26, 2016 03:30

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amewataka polisi wa nchi hiyo kuongeza juhudi katika utendaji kazi wao ili kukabiliana na uhalifu nchini.

  • Mabaki ya Ndege yaliyopatikana Pemba, Tanzania kuchunguzwa iwapo ni ya ndege ya Malaysia

    Mabaki ya Ndege yaliyopatikana Pemba, Tanzania kuchunguzwa iwapo ni ya ndege ya Malaysia

    Jun 24, 2016 03:36

    Uchunguzi umeanzishwa kubaini iwapo kipande cha mabaki ya ndege kilichopatikana kisiwani Pemba nchini Tanzania ni kile cha ndege ya Malaysia aina ya Boeing 777 , Nambari MH370 iliyotoweka Machi 2014 au la.

  • Mwinyi: Tofauti za kidini zisiwagawanye Watanzania

    Mwinyi: Tofauti za kidini zisiwagawanye Watanzania

    Jun 17, 2016 23:23

    Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi ameshutumu vikali kile alichokitaja kuwa udini na kuwataka Watanzania kutoruhusu tofauti zao za kidini na kimadhehebu kuwa chanzo cha mgawanyiko miongoni mwao.

  •  Mamia ya wasichana wa Kitanzania walioko India, Thailand, Oman Saudia nk kurejeshwa nchini

    Mamia ya wasichana wa Kitanzania walioko India, Thailand, Oman Saudia nk kurejeshwa nchini

    Jun 11, 2016 00:00

    Serikali ya Tanzania imesema kuwa, itawarudisha nchini mamia ya wasichana raia wa nchi hiyo waliokwama nchini India na mataifa mengine baada ya taasisi zilizowachukua kwenda kuwatafutia ajira, kukiuka mikataba yao na kuwalazimisha kufanya kazi tofauti ikiwemo ya ukahaba.

  • NEC Tanzania: Hatukuwataka waangalizi wa uchaguzi kuangalia wa ZNZ ila wa bara

    NEC Tanzania: Hatukuwataka waangalizi wa uchaguzi kuangalia wa ZNZ ila wa bara

    Jun 05, 2016 00:07

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) imetoa radiamali yake juu ya ripoti ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana 2015, iliyowasilishwa hivi karibuni na ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU).

  • Tanzania: Wakaazi wa kijiji kulikojiri mauaji Tanga wahama

    Tanzania: Wakaazi wa kijiji kulikojiri mauaji Tanga wahama

    Jun 03, 2016 10:14

    Wakaazi wa kijiji cha Kibatini mkoani Tanga huko Tanzania wamekihama kijiji chao kufuatia mauaji ya kutisha yaliyotokea katika eneo hilo.

  • EU: Sheria ya Mtandao nchini Tanzania, ifanyiwe marekebisho

    EU: Sheria ya Mtandao nchini Tanzania, ifanyiwe marekebisho

    Jun 02, 2016 11:23

    Ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Ulaya (EU-EOM), umewasilisha ripoti yake kamili yenye mapendekezo tofauti kuhusiana na marekebisho ya kuboresha mchakato mzima wa uchaguzi nchini Tanzania.

  • Serikali Tanzania: Kutoongezwa muda wa simu feki ni kuwataka Watanzania wajifunze kufuata taratibu

    Serikali Tanzania: Kutoongezwa muda wa simu feki ni kuwataka Watanzania wajifunze kufuata taratibu

    May 27, 2016 23:50

    Serikali ya Tanzania imesisitiza kuwa haitaongeza muda wa kuzifungia simu feki ifikapo tarehe 16 Juni na kwamba imechukua uamzi huo ili kuwafanya Watanzania wajifunze kufuata taratibu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS