-
Baada ya miezi miwili ya kuhodhi madaraka, Rais wa Tunisia ateua waziri mkuu wa kwanza mwanamke
Sep 29, 2021 13:00Rais Kais Saied wa Tunisia amemetua Najla Bouden Romdhane, kuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi hiyo, baada ya kupita takribani miezi miwili tangu alipohodhi madaraka yote ya nchi, hatua iliyoelezwa na wapinzani wake kama mapinduzi ya kijeshi.
-
Watunisia waandamana dhidi ya serikali katika mji mkuu, Tunis
Sep 26, 2021 15:07Wananchi wa Tunisia leo Jumapili wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis kupinga hatua za karibuni za Rais Kais Saeid.
-
HRW yakosoa hatua za karibuni za Rais wa Tunisia
Sep 26, 2021 04:34Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa hatua zilizochukuliwa na Rais Kais Saeid wa Tunisia.
-
Kuendelea mgogoro wa Tunisia; maandamano ya waungaji mkono na wapinzani wa maamuzi ya Rais
Sep 21, 2021 08:56Mgogoro wa Tunisia umechukua wigo mpana zaidi hivi sasa ambapo waungaji mkono na wapinzani wa maamuzi ya Rais Kais Saied wa nchi hiyo wamemiminika katika mitaa na barabaraza za miji ya nchi hiyo.
-
Vyama vitano vya siasa Tunisia vyapinga amri ya rais ya kusitishwa Katiba
Sep 15, 2021 12:43Vyama 5 vya siasa nchini Tunisia vimetoa taarifa ya pamoja vikipinga amri ya kusitishwa Katiba na kufanyiwa mageuzi.
-
Spika wa Bunge la Tunisia ataka kufanyike mazungumzo ya kitaifa
Sep 13, 2021 08:05Spika wa Bunge ambaye pia ni mkuu wa chama cha An Nahdhah cha Tunisia amesema anataraji kuwa mazungumzo ya kitaifa yataanza chini ya usimamizi wa Rais Kais Saeid wa nchi hiyo.
-
Radiamali hasi ya vyama vya wafanyakazi Tunisia, kupinga uingiliaji wa Marekani
Sep 05, 2021 11:52Vyama vya ushirika, vya wafanyakazi na vya kisiasa vya Tunisia, siku ya Jumatano vilisusia mazungumzo na ujumbe wa Marekani uliokwenda nchini humo kwa madai ya kutatua mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Wafanyakazi, viongozi wa kisiasa Tunisia wakataa kukutana na Maseneta wa US
Sep 04, 2021 10:14Muungano mkubwa zaidi wa wafanyakazi nchini Tunisia UGTT na vyama viwili vya kisiasa nchini humo vimesusia mwaliko wa ujumbe wa Maseneta wa Marekani ulioitembelea nchi hiyo ya Kiarabu, kujadili mgogoro na mkwamo wa kisiasa unaoshuhudia nchini humo.
-
Kurefusha Rais wa Tunisia muda wa kusimamishwa shughuli za Bunge
Aug 25, 2021 02:42Licha ya malalamiko ya kila upande, lakini Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza kuwa, shughuli za Bunge la nchi hiyo zitaendelea kusitishwa kwa muda usiojulikana.
-
Rais wa Tunisia arefusha muda wa kusimamishwa shughuli za Bunge
Aug 24, 2021 07:45Rais wa Tunisia Kais Saied ametangaza kuwa, shughuli za Bunge la nchi hiyo zitaendelea kusitishwa kwa muda usiojulikana.