Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Rais Kais Saied wa Tunisia: Kuna mpango wa kutaka kuniua

    Rais Kais Saied wa Tunisia: Kuna mpango wa kutaka kuniua

    Aug 21, 2021 08:17

    Rais Kais Saied wa Tunisia ameyatuhumu makundi ya kisiasa kwamba yanapanga mikakati ya kutoa dhoruba dhidi ya serikali yake ikiwa ni pamoja na mpango wa kutaka kumuua yeye mwenyewe.

  • Chama cha Ennahdha chamtaka Rais wa Tunisia atazame upya maamuzi yake ya kisiasa

    Chama cha Ennahdha chamtaka Rais wa Tunisia atazame upya maamuzi yake ya kisiasa

    Aug 18, 2021 13:15

    Kwa wiki kadhaa sasa nchi ya Tunisia imekumbwa na machafuko ya kisiasa na maandamano ya wananchi wanaopinga hali inayotawala nchini humo.

  • Rais wa zamani wa Tunisia akosoa maamuzi yanayochukuliwa na utawala wa nchi hiyo

    Rais wa zamani wa Tunisia akosoa maamuzi yanayochukuliwa na utawala wa nchi hiyo

    Aug 17, 2021 13:26

    Rais za zamani wa Tunisia amekosoa maamuzi ya kisiasa yanayochukuliwa na rais wa sasa wa nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kutiwa nguvuni maafisa wa serikali na kuzuiliwa wengine kutoka nje ya nchi.

  • Wahajiri kadhaa wakiwemo watoto waaga dunia kwa kiu Tunisia

    Wahajiri kadhaa wakiwemo watoto waaga dunia kwa kiu Tunisia

    Aug 13, 2021 13:00

    Wahajiri wapatao sita wakiwemo watoto wadogo wanne wamefariki dunia kwa kiu katika Jangwa la Sahara nchini Tunisia, mpakani mwa nchi hiyo na Algeria.

  • Chama cha An-Nahdhah cha Tunisia chalaani ujasusi wa Saudia dhidi ya kiongozi wake

    Chama cha An-Nahdhah cha Tunisia chalaani ujasusi wa Saudia dhidi ya kiongozi wake

    Aug 10, 2021 02:30

    Kufuatia kufichuliwa na tovuti ya Middle East Eye ujasusi uliofanywa na Saudi Arabia dhidi ya Rashid Ghanushi, Spika wa Bunge la Tunisia ambaye pia ni kiongozi wa chama cha Kiislamu nchini humo cha An-Nahdhah, chama hicho kimetoa taarifa maalum kulaani kitendo hicho cha Riyadh.

  • Rais wa Tunisia ampiga kalamu nyekundu Balozi wa Marekani

    Rais wa Tunisia ampiga kalamu nyekundu Balozi wa Marekani

    Aug 05, 2021 02:33

    Katika kile kinachoonekana ni kushtadi mgogoro wa kisiasa nchini Tunisia, Rais Kais Saied wa nchi hiyo ametangaza kumfuta kazi Balozi wa nchi hiyo huko Marekani pamoja na Gavana wa moja ya mikoa ya kistratajia ya nchi hiyo.

  • Ennahdha yakadhibisha habari ya kukamatwa kinara wake, Rached Ghannouchi

    Ennahdha yakadhibisha habari ya kukamatwa kinara wake, Rached Ghannouchi

    Aug 04, 2021 00:57

    Chama cha Ennahdha kimekadhibisha habari inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa kiongozi wa chama hicho Rached Ghannouchi ambaye pia ni Spika wa Bunge la Tunisia amewekwa kwenye kifungo cha nyumbani.

  • Ghannouchi akosoa uingiliaji wa nchi za kigeni katika mambo ya ndani ya Tunisia

    Ghannouchi akosoa uingiliaji wa nchi za kigeni katika mambo ya ndani ya Tunisia

    Aug 03, 2021 06:20

    Rached Ghannouchi Spika wa Bunge lililosimamishwa la Tunisia amekosoa uingiliaji wa nchi za kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.

  • Uchaguzi wa mapema; chaguo la Ennahdha iwapo muafaka wa kisiasa hautafikiwa huko Tunisia

    Uchaguzi wa mapema; chaguo la Ennahdha iwapo muafaka wa kisiasa hautafikiwa huko Tunisia

    Aug 03, 2021 02:26

    Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Tunisia na ambaye pia ni mmoja kati ya viongozi wa ngazi ya juu wa chama cha Ennahdha amesema kuwa chama hicho kinaunga mkono chaguo la kufanyika uchaguzi wa mapema wa Rais na Bunge iwapo hakutafikiwa mapatano.

  • Matukio ya Tunisia, ajenda kuu ya mazungumzo ya waziri wa mambo ya nje wa Algeria Misri

    Matukio ya Tunisia, ajenda kuu ya mazungumzo ya waziri wa mambo ya nje wa Algeria Misri

    Aug 02, 2021 10:22

    Ramtane Lamamra, Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ambaye yuko Misri amekutana na kuzungumza na rais wa nchi hyo kuhusu uhusiano wa nchi mbili na matukio ya Tunisia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS