-
Tunisia yapinga njama za kuigawa vipande vipande Libya
May 01, 2020 09:15Rais wa Tunisia kwa mara nyingine tena ametangaza kuwa nchi yake itaendelea kupinga njama zozote za kujaribu kuigawa vipande vipande nchi jirani ya Libya.
-
Vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa ajili ya kushirikiana dhidi ya virusi vya corona
Apr 22, 2020 22:47Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia imetangaza kuwa zaidi ya vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa lengo la kushrikiana katiak mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona.
-
Tunisia yawaachia huru wafungwa 1,420 kufuatia maambukizo ya corona
Apr 01, 2020 03:31Rais wa Tunisia ameagiza kuachiwa huru wafungwa 1,420 kufuatia maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.
-
Tunisia yasema iko tayari kuisaidia Palestina kukabiliana na Corona
Mar 28, 2020 07:17Serikali ya Tunisia imetangaza uungaji mkono wake kwa raia wa Palestina katika kukabiliana na virusi vya Corona.
-
Rouhani: Nchi na mataifa yote yanapaswa kushirikiana katika kupambana na corona
Mar 24, 2020 03:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kasi ya maambukizi ya virusi vya corona imekuwa maudhui ya kimataifa na kuongeza kuwa, nchi na mataifa yote yanalazimika kupambana na janga hilo.
-
Waganga wa kienyeji Tunisia wavuna kwa kuuza 'dawa ya Corona'
Mar 17, 2020 04:37Katika hali ambayo hakuna dawa mjarabu ya kutibu ugonjwa wa Corona iliyotangazwa rasmi au kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), lakini waganga wa kienyeji nchini Tunisia wameendelea kupata faida kubwa kutokana na mauzo ya mitishamba na dawa za kiasili wanazodai kuwa zinatibu Corona.
-
Bunge la Tunisia lapasisha serikali mpya ya nchi hiyo
Feb 27, 2020 07:39Hatimaye na baada ya vuta nikuvute na malumbano makubwa ya kisiasa, Bunge la Tunisia limepasisha serikali mpya ya nchi hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu, Elyes Fakhfakh kwa kura 129 za diyo mkabala wa kura 77 za upinzani. Serikali mpya ya Tunisia imepasishwa baada ya mjadala mkali ulioendelea kwa muda wa masa 14.
-
Serikali mpya ya Tunisia yapata ridhaa ya Bunge
Feb 27, 2020 03:56Bunge la Tunisia limeipigia kura ya kuwa na imani nayo serikali mpya ya nchi hiyo chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Elyes Fakhfakh na hivyo kuhitimisha mkwamo wa uundaji serikali nchini humo.
-
Magaidi kadhaa wauawa magharibi mwa Tunisia
Feb 26, 2020 03:59Magaidi kadhaa wameuawa katika mapigano na vikosi vya usalama vya Tunisia magharibi mwa nchi hiyo.
-
Rais wa Tunisia: Quds ni mji mkuu wa Palestina, si bidhaa ya kuuzwa
Feb 25, 2020 04:18Rais Kais Saied wa Tunisia amesema Palestina ni milki ya Wapalestina na Quds tukufu inapaswa kuwa mji mkuu wa taifa hilo la Kiarabu.