-
Tunisia yatahadharisha kuhusu taathira za ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Nov 20, 2019 21:35Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia imetahadharisha kuhusu taathira hatari za ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Huenda An-Nahdhah ikampendekeza waziri mkuu mpya wa Tunisia nje ya chama hicho
Nov 09, 2019 23:16Chama chenye mielekeo ya Kiislamu nchini Tunisia cha An-Nahdhah huenda kikampendekeza mtu wa kushika wadhifa wa uwaziri mkuu na kuongoza serikali nje ya kada yake, wakati kinaendelea kutafuta mwafaka na vyama vingine kwa ajili ya kuunda serikali ya mseto.
-
Rais mpya wa Tunisia ala kiapo na kuanza rasmi kuiongoza nchi
Oct 23, 2019 08:40Kais Saied, Rais mpya wa Tunisia aliyeshinda duru ya pili ya uchaguzi wa Rais iliyofanyika mwezi huu, leo ameapishwa na kuanza rasmi kuiongoza nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Bunge la Tunisia lamjibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain
Oct 20, 2019 08:56Mwenyekiti wa Kamisheni ya Uhusiano wa Nje katika Bunge la Tunisia amemwambia Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain kuwa, uchaguzi wa hivi karibuni nchini humo umeonyesha kuwa wananchi wa nchi hiyo wameamua kujiainishia wenyewe mwenendo wa kisiasa na kiuchumi wa nchi hiyo.
-
Ushindi wa mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi wa Rais nchini Tunisia
Oct 14, 2019 09:04Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais nchini Tunisia ilifanyika jana Jumapili na matokeo yasiyo rasmi yanaonyesha kuwa, mgombea wa kujitegemea Kais Saied ameibuka na ushindi kwa kujipatia asilimia 75 ya kura.
-
Duru ya pili ya uchaguzi wa rais Tunisia imefanyika leo
Oct 13, 2019 08:44Wananchi wa Tunisia mapema leo wameelekea katika masanduku ya kupigia kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa Rais uliowashindanisha tajiri na mmiliki wa televisheni binafsi ya "Nessma" Nabeel Karoui na Wakili Mhafidhina, Kais Saied.
-
Mgombea urais wa Tunisia Nabil Karoui atolewa jela siku chache kabla ya uchaguzi
Oct 10, 2019 03:58Mahakama ya Rufaa ya Tunisia imemwachia huru mgombea urais Nabil Karoui siku chache kabla ya duru ya pili ya uchaguzi wa rais inayotazamiwa kufanyika siku ya Jumapili.
-
Mgombea urais aliyeko jela Tunisia ataka uchaguzi uahirishwe
Oct 09, 2019 10:09Mwenyekiti wa chama cha Qalb Tunes anayefungwa jela ambaye amefanikiwa kuingia duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa nchi hiyo ametoa wito wa kuahirishwa zoezi hilo.
-
Chama cha Kiislamu chaongoza matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge Tunisia
Oct 07, 2019 04:20Matokeo ya awali na yasiyo rasmi ya uchaguzi wa Bunge la Tunisia yanaonesha kuwa chama cha Kiislamu cha al Nahdha kinachoongozwa na Rached Ghannouchi kinaongoza kwa wingi wa viti ikilinganishwa na vyama vingine.
-
Uchaguzi wa bunge nchini Tunisia
Oct 06, 2019 08:42Mamillioni ya watu wa Tunisia leo wameshiriki katika uchaguzi wa bunge, ambao ni wa tatu tokea mapinduzi ya mwaka 2011 katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.