-
An-Nahdhah yatangaza kumuunga mkono Kais Saied katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Tunisia
Sep 20, 2019 10:24Harakati ya Kiislamu ya An-Nahdhah ya nchini Tunisia imetangaza kuwa, itamuunga mgombea wa kujitegemea Profesa Kais Saied katika duru ya pili ya kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Dikteta wa Tunisia afariki dunia ukimbizini Saudia
Sep 19, 2019 11:01Vyombo vya habari vya Tunisia vimetangaza habari ya kufariki dunia dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Zine El Abidine Ben Ali akiwa ukimbizini nchini Saudi Arabia
-
Mgombea urais nchini Tunisia apinga uhusiano wa aina yoyote na Israel
Sep 17, 2019 07:51Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tunisia, wameeneza video ya mgombea urais katika uchaguzi wa sasa nchini humo ambaye ameelezea kupinga kuboreshwa uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Uchaguzi wa Tunisia na mustakbali usiojulikana wa nchi hiyo
Sep 17, 2019 01:58Wananchi wa Tunisia juzi Jumapili, Septemba 15, 2019 walishiriki kwenye uchaguzi muhimu sana wa Rais ambao ulikuwa wa pili huru baada ya wananchi hao kumpindua dikteta wa muda mrefu wa nchi hiyo, Zine el Abidine Ben Ali mwaka 2011.
-
Uchaguzi wa rais nchini Tunisia waingia duru ya pili
Sep 16, 2019 02:53Matokeo ya awali ya kura zilizohesabiwa katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana Jumapili nchini Tunisia, yanaonyesha kwamba kinyume na utabiri wa hapo awali, kiongozi wa chama kisicho mashuhuri na mgombea wa chama cha kujitegemea, wameonekana kuingia duru ya pili ya uchaguzi huo.
-
Wananchi Tunisia washiriki katika uchaguzi ulio mgumu kutabiri mshindi
Sep 15, 2019 07:54Wananchi wa Tunisia leo wameshiriki katika uchaguzi wa rais ambao wataalamu wa mambo wanasema kuwa ni vigumu sana kutabiri mshindi.
-
Uchaguzi wa Rais wa Tunisia na changamoto zake
Sep 14, 2019 07:05Wananchi wa Tunisia kesho Jumapili wataelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa mapema kumchagua rais wao wa baadaye miongoni mwa wagombea 26 wa kiti hicho ikiwa zimepita siku 50 tangu kuaga dunia Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia.
-
Mgombea urais wa Jumapili ya kesho Tunisia aendelea kushikiliwa mahabusu
Sep 13, 2019 22:37Mahakama ya Rufaa ya Tunisia imekataa ombi la mgombea urais katika kinyang'anyiro cha Jumapili ya kesho, Nabil Karoui la kuachiwa huru kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi huo.
-
Dikteta wa Tunisia Zine El-Abidine Ben Ali yu mahututi hospitalini uhamishoni Saudia
Sep 13, 2019 02:53Dikteta wa Tunisia Zine El-Abidine Ben Ali, ambaye yuko uhamishoni nchini Saudi Arabia tangu alipong'olewa madarakani mwaka 2011 amelazwa hospitalini huku hali yake kiafya ikiripotiwa kuwa ni mbaya sana.
-
Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia kugombea kiti cha urais
Aug 06, 2019 20:54Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia wametangaza kuwa watagombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao nchini humo.