Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Uchaguzi wa Rais wa Tunisia na changamoto zake

    Uchaguzi wa Rais wa Tunisia na changamoto zake

    Sep 14, 2019 07:05

    Wananchi wa Tunisia kesho Jumapili wataelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa mapema kumchagua rais wao wa baadaye miongoni mwa wagombea 26 wa kiti hicho ikiwa zimepita siku 50 tangu kuaga dunia Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia.

  •  Mgombea urais wa Jumapili ya kesho Tunisia aendelea kushikiliwa mahabusu

    Mgombea urais wa Jumapili ya kesho Tunisia aendelea kushikiliwa mahabusu

    Sep 13, 2019 22:37

    Mahakama ya Rufaa ya Tunisia imekataa ombi la mgombea urais katika kinyang'anyiro cha Jumapili ya kesho, Nabil Karoui la kuachiwa huru kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi huo.

  • Dikteta wa Tunisia Zine El-Abidine Ben Ali yu mahututi hospitalini uhamishoni Saudia

    Dikteta wa Tunisia Zine El-Abidine Ben Ali yu mahututi hospitalini uhamishoni Saudia

    Sep 13, 2019 02:53

    Dikteta wa Tunisia Zine El-Abidine Ben Ali, ambaye yuko uhamishoni nchini Saudi Arabia tangu alipong'olewa madarakani mwaka 2011 amelazwa hospitalini huku hali yake kiafya ikiripotiwa kuwa ni mbaya sana.

  • Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia kugombea kiti cha urais

    Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia kugombea kiti cha urais

    Aug 06, 2019 20:54

    Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia wametangaza kuwa watagombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao nchini humo.

  • Tunisia yatangaza rasmi tarehe ya uchaguzi wa Rais

    Tunisia yatangaza rasmi tarehe ya uchaguzi wa Rais

    Jul 31, 2019 22:27

    Viongozi wa Tunisia wametangaza rasmi tarehe 15 mwezi Septemba kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo kufuatia kuaga dunia Rais wa nchi hiyo, Beji Caid Essebsi.

  • Kuaga dunia rais wa Tunisia na matukio ya usoni

    Kuaga dunia rais wa Tunisia na matukio ya usoni

    Jul 26, 2019 23:45

    Kufutia kifo cha Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia, Mohamed Ennaceur (an-Nasir) spika wa bunge la nchi hiyo, ameteuliwa kushikilia kwa muda nafasi hiyo.

  • Beji Caid Essebsi Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini Tunisia  afariki dunia

    Beji Caid Essebsi Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini Tunisia afariki dunia

    Jul 25, 2019 08:38

    Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 92.

  • Al Ghannouchi kushiriki uchaguzi wa bunge Tunisia

    Al Ghannouchi kushiriki uchaguzi wa bunge Tunisia

    Jul 21, 2019 22:03

    Kiongozi wa chama cha Kiislamu cha An Nahdhah cha nchini Tunisia ametangaza rasmi kuwa atashiriki katika uchaguzi ujao wa bunge wa nchi hiyo.

  • Viwiliwili vya wahajiri 79 waliozama baharini Tunisia vyapatikana

    Viwiliwili vya wahajiri 79 waliozama baharini Tunisia vyapatikana

    Jul 13, 2019 08:06

    Siku kumi zilizopita, mtumbwi mmoja uliokuwa umejaza wahajirii ulizama karibu na fukwe za Tunisia. Hadi hivi sasa miili 79 ya wahajirii hao imeshaopolewa kutoka baharini.

  • Hilali Nyekundu: Walioaga dunia katika ajali ya boti Tunisia wamepindukia 70

    Hilali Nyekundu: Walioaga dunia katika ajali ya boti Tunisia wamepindukia 70

    Jul 12, 2019 10:31

    Shirika la Hilali Nyekundu la Tunisia limeripoti kuwa, idadi ya watu walioaga dunia katika ajali ya boti iliyotokea katika pwani ya nchi hiyo siku chache zilizopita imeongezeka na kufikia watu 72.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS