-
Omar Sahabou: Imarati ina woga wa wimbi la demokrasia
Jul 06, 2019 21:53Mwanasiasa mashuhuri wa Tunisia kutoka chama cha Nidaa Tunis amesema kuwa serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu ina woga wa kupenya demokrasia na kuingia nchini humo; kwa sababu hiyo inafanya jitihada za kuangamiza demokrasia nchini Tunisia.
-
Makumi wahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama pwani ya Tunisia
Jul 04, 2019 22:04Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea katika pwani ya Tunisia.
-
Vitendo vya ugaidi Tunisia, mada za miripuko zapatikana msikitini kabla ya kuripuka
Jul 04, 2019 05:27Maafisa usalama wa Tunisia wamegundua mada kadhaa za miripuko katika msikiti mmoja nchini humo na kuzitegua kabla ya kuripuka.
-
Bunge la Tunisia lachunguza njama ya mapinduzi nchini humo
Jul 03, 2019 08:17Spika wa Bunge la Tunisia ametangaza kuwa kumeundwa kamati ya kuchunguza njama ya kufanya mapinduzi nchini humo kufuatia hali mbaya ya kiafya ya Rais Beji Caid al Sebsi wa nchi hiyo.
-
Ennahdha: Kunafanyika njama za kutaka kumuua Rais Essebsi wa Tunisia
Jul 02, 2019 03:49Mwenyekiti wa chama cha Kiislamu cha al Ennahdha nchini Tunisia amesema kuwa kunafanyika jitihada za kumuua Rais Beji Caid Essebsi wa nchi hiyo.
-
Watunisia waandamana dhidi ya Israel, waiunga mkono Palestina
Jun 16, 2019 02:29Makumi ya wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchini Tunisia kwa mara nyingine wamefanya maandamano katika barabara za mji mkuu Tunis, kulaani mpango wowote wa kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel, sambamba na kuonyesha uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Hali ya hatari yatangazwa katika mpaka wa kusini mashariki mwa Tunisia
May 30, 2019 22:19Serikali ya Tunisia imewaweka tayari askari jeshi wake wa ulinzi waliotumwa katika mipaka ya kusini mashariki mwa nchi hiyo na Libya.
-
Makumi ya wahajiri wa Kiafrika waghariki katika pwani ya Tunisia
May 10, 2019 22:30Makumi ya wahajiri wamepoteza maisha katika ajali ya kuzama boti katika pwani ya Tunisia, wakitokea pwani ya Libya.
-
Hasira za Watunisia zamfanya rais wa Misri aghairi kushiriki kikao cha viongozi wa Arab League
Mar 30, 2019 11:22Malalamiko na upinzani mkubwa wa wananchi wa Tunisia dhidi ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri umemfanya kiongozi huyo aghairi kuhudhuria kikao cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kilichopangwa kufanyika mji mkuu wa Tunisia, Tunis.
-
Nchi za Kiarabu zatakiwa kuchukua hatua za kivitendo kuilinda Golan ya Syria
Mar 30, 2019 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika itaziongoza nchi nyingine za Kiarabu na jamii ya kimataifa katika kutoa radimali kwa hatua ya kichochezi ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa ni mali ya utawala haramu wa Israel.