-
Watunisia waendeleza maandamano dhidi ya serikali
Feb 18, 2019 11:31Baada ya kijana mmoja kufariki dunia, raia wa Tunisia wamemiminika barabarani na kuandamana dhidi ya serikali ya nchi hiyo.
-
Baada ya mgomo, sasa walimu Tunisia wafanya maandamano
Feb 07, 2019 11:10Maelfu ya walimu nchini Tunisia wamemiminika mabarabarani katika mji mkuu Tunis kushiriki maandamano yaliyoitishwa kwa lengo la kuishinikiza serikali iliyokataa kuwapandishia mishahara wafanyakazi wa umma.
-
Rais Rouhani asisitiza kustawishwa uhusiano wa Iran na nchi za Kiafrika
Feb 02, 2019 22:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kustawishwa uhusiano na kuweko ushirikiano wa karibu baina ya Tehran na nchi za Kiafrika zikiwemo Tunisia, Sierra Leone na Mali ni jambo la dharura.
-
Tunisia yaungana na Lebanon na Iraq kutaka Syria irejeshwe Arab League
Jan 27, 2019 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia Khemaies Jhinaoui ametoa mwito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuirejeshea Syria kiti chake cha uwanachama katika jumuiya hiyo na kusisitiza kwamba "mahali pa kimaumbile" pa nchi hiyo ni katika jumuiya hiyo yenye nchi 22 wanachama.
-
Mgomo wa nchi nzima Tunisia katika kumbukumbu ya mapinduzi ya wananchi
Jan 18, 2019 03:18Wananchi wa Tunisia wamenza mgomo wa nchi nzima wakitaka nyongeza ya mishahara. Mgomo huo unafanyika katika siku hizi ambapo nchi hiyo inaadhimisha ushindi wa mapinduzi ya wananchi yaliyoiondoa madarakani serikali ya kidikteta ya Zainul Abidin bin Ali mwaka 2011.
-
Mgomo wa nchi nzima wa wafanyakazi waanza nchini Tunisia
Jan 17, 2019 04:10Muungano mkubwa zaidi wa wafanyakazi nchini Tunisia UGTT umesema mgomo wa nchi nzima wa malaki ya watumishi wa umma umeng'oa nanga hii leo Alkhamisi.
-
Syria na Tunisia zajadili suala la Rais Assad kushiriki kikao cha Arab League
Jan 12, 2019 08:41Serikali ya Tunisia na Syria zimefanya mazungumzo kujadili suala la kushiki Rais Bashar al-Assad katika kikao kijacho cha viongozi wa Kiarabu.
-
Essebsi: 2019 ni mwaka muhimu kwa Tunisia
Jan 01, 2019 23:17Rais wa Tunisia amezungumzia uchaguzi ujao wa rais na bunge nchini humo na kusema kuwa mwaka 2019 utakuwa mwaka muhimu kwa nchi hiyo.
-
Karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magaidi katika nchi za Iraq na Syria
Dec 21, 2018 23:31Kituo kimoja cha utafiti cha Marekani kimetangaza kuwa, karibu raia 11,000 wa Tunisia walijiunga na magenge ya kigaidi katika nchi za Iraq na Syria.
-
Rais wa zamani wa Tunisia: Saudia na Imarati ni hatari kwa demokrasia
Nov 30, 2018 11:38Rais wa zamani wa Tunisia ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa na Saudi Arabia na Imarati kwa ajili ya kuingilia uchaguzi mkuu ujao nchini humo.