-
Sababu za mivutano ya sasa ya kisiasa nchini Tunisia
Nov 27, 2018 02:48Chama cha Nidaa Tounis kimemtuhumu Waziri Mkuu wa Tunisia kuwa anafanya jitihada za kumpindua rais wa nchi hiyo, madai ambayo yamepingwa na Waziri Mkuu na kuzusha mvutano mkubwa wa kisiasa nchini humo.
-
Mwanasiasa nchini Tunisia: Mohammad Bin Salman hana nafasi ndani ya nchi yetu
Nov 25, 2018 16:55Mwakilishi wa Bunge nchini Tunisia amelalamikia vikali uamuzi wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia wa kuitembelea nchi hiyo na kusisitiza kwamba, Bin Salman ambaye ni muuaji mkubwa, hana nafasi ndani ya nchi hiyo.
-
Wafanyakazi wa umma waandamana wakitaka nyongeza ya mishahara Tunisia
Nov 23, 2018 07:46Maelfu ya watumishi wa umma nchini Tunisia jana Alkhamisi walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kushinikiza nyongeza ya mishahara.
-
Genge moja la kigaidi lasambaratishwa nchini Tunisia
Oct 23, 2018 03:01Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza habari ya kusambaratishwa genge moja la kigaidi magharibi mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Wawakilishi wa Nidaa Tounes waendelea kujiuzulu bungeni Tunisia
Oct 08, 2018 13:27Wabunge wa chama tawala cha Nidaa Tunis nchini Tunisia wanaendelea kujiuzulu nafasi zao katika bunge la nchi hiyo.
-
Essebsi: Uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa nchini Tunisia
Sep 27, 2018 07:24Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia amekiri kuwa hali ni nzito hivi sasa nchini humo lakini pamoja na hayo amesisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa mwaka 2019.
-
Marekani yapanua kisiri uwepo wake wa kijeshi Tunisia
Sep 25, 2018 02:24Ripoti mpya imefichua kuwa Marekani imekuwa ikipanua kisiri uwepo wake wa kijeshi nchini Tunisia, licha ya upinzani kusisitiza kuwa kitendo hicho ni uingiliaji wa masuala ya ndani na kukanyaga uhuru wa kujitawala nchi hiyo.
-
Wabunge 8 wa Chama cha Nidaa Tounes wajiuzulu
Sep 10, 2018 04:11Wabunge wanane wa chama cha Nidaa Tounes wamejiuzulu chamani na kujiunga na mrengo mwingine wa kisiasa.
-
Al Nahdha yapinga mpango wa Rais wa Tunisia kuhusu mirathi
Aug 28, 2018 03:31Baraza la Ushauri la Harakati ya al Nahdha ncini Tunisia limetangaza kuwa linashikamana na mfumo wa mirathi ulioainishwa katika mafundisho ya Qur'ani tukufu na Suna za Mtume Muhammad (saw).
-
Wahajiri wanne wapoteza maisha baada ya boti kuwaka moto Tunisia
Aug 19, 2018 15:18Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza habari ya kupoteza maisha wahajiri wanne baada ya boti yao kuungua moto katika fukwe za Sfax, mashariki mwa nchi hiyo.