-
Qassemi: Hatujaiomba Tunisia iwe mpatanishi kwenye mgogoro wa Iran na Saudia
Nov 22, 2017 23:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeiomba Tunisia iwe mpatanishi katika mgogoro kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia.
-
Mkataba wa kimataifa wa kulinda haki za waandishi habari wasainiwa Tunisia
Nov 20, 2017 23:09Mkataba mpya wa kimataifa wa kulinda haki za waandishi wa habari umetiwa saini huko Tunisia.
-
Algeria: Magaidi wa Daesh wanakusudia kuweka kambi katika nchi za kaskazini mwa Afrika
Nov 16, 2017 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ametahadharisha kwamba, wanachama wa kundi hatari la kigaidi na kitakfiri la Daesh, wanakusudia kuweka kambi na kujizatiti katika nchi za kaskazini mwa Afrika.
-
Tunisia yaikosoa Saudia kwa hatua zake za kuzusha migogoro katika nchi nyingine
Nov 12, 2017 04:19Waziri Mkuu wa Tunisia ametoa radiamali yake kutokana na hatua ya kuibua migogoro ya Saudia katika nchi nyingine hususan Lebanon na kuonyesha matarajio kwamba mzozo huo hautapelekea kutokea vita kati ya nchi mbili.
-
Polisi nchini Tunisia waandamana, wataka kulindwa
Nov 04, 2017 04:23Maafisa wa polisi nchini Tunisia wamefanya maandamano wakitaka kupitishwe rasimu ya muswada wa kuwalinda.
-
Tunisia yasambaratisha genge jingine la kigaidi
Oct 19, 2017 10:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia imetangaza kuwa, imesambaratisha genge moja la ukufurishaji lenye mfungamano na kundi la kigaidi linalojulikana kwa jina la Answar al Sharia.
-
Umoja wa Ulaya wazungumza na Tunisia kuhusu njia za kupambana na ugaidi
Oct 19, 2017 00:32Maafisa wa kupambana na ugaidi wa Umoja wa Ulaya wameitisha kikao na viongozi wa Tunisia kujadiliana njia za kupambana na ugaidi.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya utatuzi wa mgogoro wa Libya yaanza nchini Tunisia
Oct 15, 2017 10:27Wajumbe kutoka makundi mbalimbali ya Libya wameanza mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo katika nchi jirani ya Tunisia, chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa.
-
Wahajiri 140 waokolewa baada ya boti zao kuzama Tunisia
Oct 01, 2017 11:45Jeshi la Majini la Tunisia limefanikiwa kuokoa wahajiri wapatao 140, baada ya boti zao kuzama kusini mashariki mwa nchi.
-
Watunisia wasaini hati ya kutaka kuuzuliwa rais wa nchi hiyo
Aug 28, 2017 03:30Chama cha al Mahabba nchini Tunisia kimeanza kukusanya saini za raia wa nchi hiyo katika mchakato wa kutaka Rais Mohamed Beji Caid Essebsi atimuliwe baada ya kutoa wito unaokiuka sheria za mirathi za Kiislamu.