Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Watunisia waandamana kupinga maonyesho ya vichekesho ya Mzayuni nchini kwao

    Watunisia waandamana kupinga maonyesho ya vichekesho ya Mzayuni nchini kwao

    Jul 20, 2017 23:03

    Watunisia wamefanya maandamano mjini Tunis kupinga maonyesho ya vichekesho ya Michel Boujenah Mzayuni mwenye uraia wa nchi mbili za Ufaransa na Tunisia nchini mwao.

  • Zarif: Hakuna kizuizi cha kuimarisha uhusiano wa Iran na Tunisia

    Zarif: Hakuna kizuizi cha kuimarisha uhusiano wa Iran na Tunisia

    Jun 20, 2017 03:28

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna kitu kinachoweza kuzuia au kukwamisha kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Iran na Tunisia.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran barani Afrika

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran barani Afrika

    Jun 17, 2017 23:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo (Jumapili) anaanza ziara ya kuzitembelea nchi za Algeria, Mauritania na Tunisia.

  • Mwanasiasa Tunisia: Mzingiro wa Waarabu dhidi ya Qatar ni ishara ya kufeli Arab League

    Mwanasiasa Tunisia: Mzingiro wa Waarabu dhidi ya Qatar ni ishara ya kufeli Arab League

    Jun 16, 2017 10:55

    Nizar Ayyad mjumbe wa ngazi ya juu wa chama cha Nida nchini Tunisia amesema kuwa, kitendo cha kuzingirwa na kuwekewa vikwazo taifa la Qatar, ni ishara ya wazi ya kushindwa vibaya Saudia, Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).

  • Watu 78 wamejeruhiwa katika ghasia za kikabila kusini mwa Tunisia

    Watu 78 wamejeruhiwa katika ghasia za kikabila kusini mwa Tunisia

    Jun 10, 2017 23:56

    Gavana wa eneo la Qibli kusini mwa Tunisia ametangaza kuwa watu 78 wamejeruhiwa katika mapigano ya kikabila yaliyotokea jana katika eneo hilo.

  • Kesi ya watuhumiwa 26 wa ugaidi yasikilizwa nchini Tunisia

    Kesi ya watuhumiwa 26 wa ugaidi yasikilizwa nchini Tunisia

    May 27, 2017 02:15

    Mahakama moja nchini Tunisia imesikiliza kesi ya watuhumiwa 26 wa mashambulizi ya kigaidi yaliyowalenga watalii nchini humo.

  • Jeshi la Tunisia lafyatua risasi angani kuwatawanya waandamanaji

    Jeshi la Tunisia lafyatua risasi angani kuwatawanya waandamanaji

    May 20, 2017 23:02

    Jeshi la Tunisia limefyatua risasi angani kuwatawanay waandamanaji waliokuwa wanajribu kuzuia uchimbaji gesi katika mkoa wa Tatatouine kusini mwa nchi hiyo.

  • Wananchi waandamana Tunisia kupinga msahama kwa mafisadi

    Wananchi waandamana Tunisia kupinga msahama kwa mafisadi

    May 14, 2017 03:02

    Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Tunis kupinga muswada ambao ukipasishwa na kuwa sheria, maafisa wa serikali wanaopatikana na hatia ya ufisadi watafutiwa makosa mkabala wa kurejesha mali walizopora kwa dola.

  • Waziri wa Mambo ya Ndani Tunisia: Magaidi 3000 wa Kitunisia wako nje ya nchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Tunisia: Magaidi 3000 wa Kitunisia wako nje ya nchi

    Apr 22, 2017 02:36

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tunisia amesema kuwa, magaidi 3000 za Kitunisia wako katika nchi za Syria, Libya na maeneo mengine duniani.

  • Jeshi la Tunisia latumia mizinga kushambulia maficho ya magaidi

    Jeshi la Tunisia latumia mizinga kushambulia maficho ya magaidi

    Apr 19, 2017 11:25

    Kikosi cha mizinga cha jeshi la wananchi wa Tunisia kimeshambulia maficho ya magaidi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS