-
Ufaransa katika jitihada za kupanua mahusiano yake na Tunisia
Apr 09, 2017 23:09Katika safari yake katika nchi za kaskazini mwa Afrika, Waziri Mkuu wa Ufaransa amejadili njia za kuanzisha na kuongeza ushirikiano katika uga wa kiuchumi na kuchunguza masuala mbalimbali ikiwemo migogoro ya kieneo.
-
Malengo ya safari ya Waziri Mkuu wa Ufaransa barani Afrika
Apr 06, 2017 06:32Waziri Mkuu wa Ufaransa Bernard Cazeneuve ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika ambayo imetajwa kuwa lengo lake ni kuimarisha uchumi na mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Hamma Hammami: Rais wa zamani wa Tunisia, alikula njama za kumuondoa Rais Assad
Apr 05, 2017 09:40Msemaji wa Harakati ya Wananchi 'The Popular Front' ya nchini Tunisia amesema kuwa, Moncef Marzouki rais wa zamani wa Tunisia, alikula njama za kutaka kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria.
-
Rais wa Tunisia: Iran ndiyo tegemeo pekee kwa ajili ya kukabiliana na Israel
Mar 31, 2017 23:57Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia amesema kuwa Iran ndio tegemeo pekee kwa ajili ya kukabiliana na Israel.
-
Al Nahdha: Tuko tayari kuipatanisha serikali ya Misri na Ikhwanul Muslimin
Mar 13, 2017 03:27Mkuu wa harakati ya al Nahdha ya Tunisia amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kulipatanisha kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri na serikali ya nchi hiyo.
-
Afisa wa polisi Tunisia auawa na magaidi
Mar 12, 2017 10:27Magaidi wakufurishaji nchini Tunisia wamempiga risasi na kumuua afisa wa polisi nchini Tunisia na kuwajeruhi wengine watatu.
-
Dikteta wa zamani wa Tunisia aendelea kuandamwa na vifungo
Mar 04, 2017 12:32Dikteta aliyeondolewa madarakani wa Tunisia amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela kutokana na tuhuma za faili jingine.
-
Tunisia na kuendelea matatizo ya kiuchumi
Mar 01, 2017 23:09Umoja wa Mataifa umeitahadharisha Tunisia kuhusu kutekeleza siasa za kubana matumizi kufuatia kuendelea matatizo ya kiuchumi nchini humo.
-
Watunisia wataka kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yao na Syria
Feb 25, 2017 10:52Makundi ya kiraia nchini Tunisia yametaka kuanzishwa mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi yao na serikali ya Syria.
-
Dikteta wa zamani wa Tunisia ahukumiwa kifungo cha miaka 8 jela
Feb 25, 2017 03:13Dikteta aliyeondolewa madarakani wa Tunisia amehukumiwa kifungo cha miaka 8 jela bila ya kuwepo mahakamani.