Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • UN yazishukuru nchi jirani na Libya

    UN yazishukuru nchi jirani na Libya

    Feb 22, 2017 23:33

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amezishukuru nchi jirani na Libya kwa jitihada zao za kutafuta suluhisho la mgogoro wa ndani wa nchi hiyo.

  • Magaidi wawili waangamizwa magharibi mwa Tunisia

    Magaidi wawili waangamizwa magharibi mwa Tunisia

    Feb 18, 2017 04:13

    Wizara ya Ulinzi ya Tunisia imetangaza kuwa, magaidi wawili wakufurishaji wameangamizwa katika maeneo ya milimani ya jimbo la Kasserine la magharibi mwa nchi hiyo katika operesheni maalumu ya jeshi ya kupambana na magenge ya kigaidi.

  • Serikali ya Tunisia yaongeza muda wa hali ya hatari kwa miezi mitatu mingine

    Serikali ya Tunisia yaongeza muda wa hali ya hatari kwa miezi mitatu mingine

    Feb 17, 2017 00:19

    Serikali ya Tunisia imeongeza muda wa hali ya hatari kwa miezi mitatu mingine nchini humo.

  • Jeshi la Tunisia laungana na jeshi la Syria kupambana na magaidi

    Jeshi la Tunisia laungana na jeshi la Syria kupambana na magaidi

    Feb 13, 2017 11:40

    Duru za kuaminika za Tunisia zimesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limetumwa nchini Syria kupambana bega kwa bega na serikali ya Syria dhidi ya magenge ya kigaidi katika ardhi ya nchi hiyo.

  •   UN hali ya jela nchini Tunisia inatia wasiwasi

    UN hali ya jela nchini Tunisia inatia wasiwasi

    Feb 04, 2017 12:52

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, hali ya jela za Tunisia inatia wasiwasi.

  • Kurefushwa muda wa hali ya hatari nchini Tunisia

    Kurefushwa muda wa hali ya hatari nchini Tunisia

    Jan 20, 2017 11:57

    Rais Muhammad Al-Baji Qaid As-Ssebsi wa Tunisia jana alitangaza kurefushwa sheria ya hali ya hatari nchini humo kwa muda mwingine wa mwezi mmoja. Baada ya kushauriana na Waziri Mkuu Yusuf Ash-Shahid, Rais As-Ssebsi ametangaza kuwa sheria ya hali ya hatari itaendelea kutekelezwa nchi nzima kuanzia tarehe 17 Januari hadi tarehe 15 Februari.

  • Tunisia na tatizo la kurejea magaidi

    Tunisia na tatizo la kurejea magaidi

    Jan 17, 2017 09:41

    Kurejea katika nchi zao magaidi waliojiunga na makundi ya kigaidi lingali miongoni mwa matatizo na changamoto kubwa ambazo ni gumzo barani Ulaya na Afrika.

  • Watunisia waandamana kuunga mkono mapinduzi

    Watunisia waandamana kuunga mkono mapinduzi

    Jan 14, 2017 09:23

    Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano leo katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo kuadhimisha mwaka wa 6 tangu wafanye mapinduzi yaliyoindoa madarakani serikali ya dikteta wa zamani wa nchi hiyo, Zainul Abidin bin Ali.

  •  Tunisia katika mtanziko wa kiusalama; magaidi elfu tatu wapo nje ya nchi

    Tunisia katika mtanziko wa kiusalama; magaidi elfu tatu wapo nje ya nchi

    Jan 02, 2017 22:55

    Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia tarehe 31 mwezi Disemba mwaka jana alieleza kuwa magaidi elfu tatu raia wa Tunisia wametapakaa katika pembe mbalimbali za dunia khususan huko Iraq, Syria na Libya.

  • Rais wa Tunisia: Yamkini Israel ilimuua mhandisi wa drone za Hamas

    Rais wa Tunisia: Yamkini Israel ilimuua mhandisi wa drone za Hamas

    Jan 02, 2017 11:38

    Rais wa Tunisia amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa utawala haramu wa Israel ulihusika katika mauaji ya mhandisi Mtunisia Mohammad Zaouari ambaye alikuwa mtegenezaji wa ndege zisizo na rubani au drone za harakati ya kupigania ukombozi wa Palestina, Hamas.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS