-
Mamia ya matakfiri wanaorejea Tunisia wakamatwa
Dec 31, 2016 03:57Msemaji wa serikali ya Tunisia ametangaza habari ya kukamatwa mamia ya matakfiri wanaorejea nchini humo kutoka eneo la Mashariki ya Kati.
-
Watunisia wakataa fikra za Kiwahabi
Dec 28, 2016 04:11Wananchi wa Tunisia hususan tabala la wasomi na wanafikra wa nchi hiyo wamekataa kupokea fikra za kiwahabi licha ya Saudi Arabia kutumia fedha na wakati mwingi kueneza na kusambaza fikra na mitazamo ya kisalafi na kiwahabi katia nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Tahadhari ya maafisa usalama wa Tunisia kuhusu kurejea magaidi nchini humo
Dec 27, 2016 01:11Licha ya kupita miaka sita ya tangu kutokea mapinduzi ya wananchi huko Tunisia, hali ya usalama ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika bado si ya utulivu na hivi sasa kuna wasiwasi mkubwa wa kurejea magaidi na kufanya vitendo vya kigaidi nchini humo.
-
Shakhsia wa kisiasa wa Tunisia kuelekea Syria kwenda kumwomba radhi Rais Assad
Dec 26, 2016 12:47Ujumbe wa viongozi wa vyama vya siasa vya Tunisia unatazamiwa kuelekea nchini Syria kwa madhumuni ya kwenda kumwomba radhi Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.
-
Hofu yatanda Tunisia baada ya magaidi kurejea wakitokea Iraq, Syria
Dec 26, 2016 00:59Maafisa wa usalama nchini Tunisia wameeleza hofu yao kutokana na kuanza kurejea nchini humo maelfu ya magaidi wakufurishaji wanaokimbia kutoka Syria na Iraq baada ya kutimuliwa na majeshi ya nchi hizo.
-
Bunge la Tunisia kuchunguza mauaji ya msomi Al Zawari wa nchi hiyo
Dec 22, 2016 11:15Bunge la Tunisia linakutana kesho Ijumaa katika kikao cha dharura kuchunguza faili la mauaji ya kigaidi yaliyofanywa dhidi ya msomi wa masuala ya anga wa nchi hiyo, Muhammad al Zawari.
-
Tunisia yasambaratisha makundi 160 ya magaidi
Dec 03, 2016 10:42Vikosi vya usalama Tunisia vimefanikiwa kusambaratisha makundi 160 ya kigaidi nchini humo katika miezi 10 ya kwanza ya mwaka huu.
-
Drone za Marekani zatumika katika mpaka wa Tunisia, Libya
Nov 23, 2016 23:26Rais wa Tunisia ameunga mkono kutumika ndege zisizo na rubani (drone) za Marekani katika mpaka wa nchi yake na Libya.
-
Maghala matatu makubwa ya silaha yanaswa Tunisia
Nov 14, 2016 11:25Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imeripoti kuwa, imegundua na kuzuia maghala matatu makubwa yaliyosheheni silaha za aina mbalimbali katika eneo la mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Larijani: Israel inatumia ugaidi kudhoofisha ulimwengu wa Kiislamu
Nov 06, 2016 14:28Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu, Bunge la Iran, amesema kuwa, kueneza ugaidi ni katika mbinu na sera zinazotumiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kuzidhoofisha nchi za Kiislamu.