-
Tunisia kuwa mwenyeji wa kikao cha kimataifa kuhusu Libya
Oct 31, 2016 04:24Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia imeeleza kwamba nchi hiyo itakuwa mwenyeji wa kikao cha kimataifa cha kujadili mgogoro wa Libya mapema mwakani.
-
Magaidi wa al-Qaidah 31 waliohusika na shambulizi Tunisia, wahukumiwa kifo
Oct 05, 2016 02:27Mahakama nchini Tunisia imetoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa magaidi 31 ambao walihusika katika shambulizi la kigaidi dhidi ya makazi ya Waziri wa Mambo ya Ndani mwaka 2014 nchini humo.
-
Kampuni ya Uingereza yalazimika kuondoka Tunisia baada ya kukabiliwa na maandamano
Sep 23, 2016 14:10Kampuni moja ya mafuta na gesi ya Uingereza iliyokuwa ikiendesha ghughuli zake nchini Tunisia imelazimika kuondoka nchini humo kufuatia malalamiko ya wananchi.
-
Kula kiapo baraza la pili la mawaziri la Tunisia katika kipindi cha miezi 18
Aug 30, 2016 04:01Waziri Mkuu mpya wa Tunisia Yusuf Shahid, pamoja na mawaziri wa serikali yake ya umoja wa kitaifa wamekula kiapo katika hafla iliyofanyika kwenye Ikulu ya rais wa nchi hiyo ya Qartaj.
-
Kushadidi mivutano ya kisiasa nchini Tunisia
Aug 03, 2016 06:49Sambamba na bunge la Tunisia kukataa kumpa ridhaa Waziri Mkuu Habib Essid ya kuendelea kushika wadhifa huo mivutano ya kisiasa imeshtadi nchini humo.
-
Bunge la Tunisia lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu
Jul 31, 2016 07:42Bunge la Tunisia limepitisha kwa wingi mkubwa, kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Habib Essid.
-
Serikali ya Tunisia yaongeza muda wa hali ya hatari
Jun 21, 2016 03:47Muda wa hali ya hatari nchini Tunisia unamalizika leo Jumanne. Jana Jumatatu Rais wa Tunisia alitangaza kuongeza muda wa hali hiyo ya hatari kwa mwezi mmoja zaidi.
-
Mashauriano ya viongozi wa Tunisia kuhusu uundaji wa serikali ya umoja wa kitaifa
Jun 07, 2016 12:36Waziri Mkuu na Rais wa Tunisia jana walikutana na kujadili namna ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo kufuatia Rais wa nchi hiyo kulizungumzia suala hilo wiki iliyopita.
-
Tunisia yatenga dola bilioni nne kwa ajili ya kupambana na ugaidi
May 20, 2016 07:02Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia ametangaza habari ya kutenga serikali yake dola bilioni nne kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Kundi la kigaidi lenye uhusiano na Daesh laangamizwa Tunisia
Apr 13, 2016 04:18Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imesema kuwa imelikamata kundi moja la kigaidi katika mkoa wa Bizerte kaskazini mwa nchi hiyo.