-
Kundi la kigaidi lenye uhusiano na Daesh laangamizwa Tunisia
Apr 12, 2016 23:48Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imesema kuwa imelikamata kundi moja la kigaidi katika mkoa wa Bizerte kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Tunisia: Tumejiweka imara kukabiliana na ugaidi wa kitakfiri
Mar 24, 2016 23:16Serikali ya Tunisia imetangaza kuchukua hatua maalumu kwa ajili ya kukabiliana na wimbi la magaidi wa kitakfiri nchini humo.
-
Kikao cha nchi jirani na Libya huko Tunisia
Mar 21, 2016 11:44Kikao cha nchi jirani na Libya kimefanyika huko Tunisia. Kanali ya televisheni ya al Aalam imeripoti kuwa kikao cha nchi jirani na Libya kimefanyika leo katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Tunisia.
-
Genge lenye mfungamano na Daesh laangamizwa Tunisia
Mar 16, 2016 03:52Wizara ya Mambo ya Ndani ya Tunisia imetangaza kuwa imegundua na kuliangamiza genge moja lenye mfungamano na kundi la kigaidi ma kitakfiri la Daesh katika eneo la Zaafaran katikati mwa nchi hiyo.
-
Tunisia: Wananchi changieni sehemu ya mshahara kukabili ugaidi
Mar 13, 2016 13:06Waziri Mkuu wa Tunisia amewataka wafanyakazi wa umma na wananchi wote kwa jumla kuchangia sehemu ya mishahara yao kwenda kwenye hazina maalumu ya kupambana na harakati za ugaidi nchini humo.
-
Libya yakanusha tuhuma za Rais wa Tunisia
Mar 09, 2016 10:54Msemaji wa serikali ya Libya amekanusha madai ya Rais wa Tunisia kuwa nchi hiyo inazalisha magaidi wanaofanya mashambulizi nchi nyingine.
-
Tunisia yaangamizi Madaesh wengine 5 karibu na mpaka na Libya
Mar 09, 2016 04:26Jeshi la Tunisia limesema kuwa limefanikiwa kuangamiza wanamgambo wengine watano wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh karibu na mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Watu wasiopungua 30 wauawa katika mapigano kusini mwa Tunisia
Mar 07, 2016 12:48Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mapigano kati ya vikosi vya jeshi la Tunisia na magaidi yaliyotokea kwenye mji Ben Guerdan ulioko karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Libya.
-
Kuwa tayari Tunisia kukabiliana na ongezeko la machafuko Libya
Feb 14, 2016 10:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema kuwa nchi yake iko tayari kukabiliana na ongezeko la machafuko huko Libya.