-
Trump asisitiza kuwakandamiza waandamanaji wanaolalamikia ubaguzi wa rangi nchini Marekani
Jun 02, 2020 06:24Ubaguzi wa rangi na matumizi ya mabavu dhidi ya wale wanaotajwa kuwa watu wa rangi nchini Marekani na hasa weusi, ni jambo lenye historia ndefu nchini humo. Licha ya mapambano ya muda mrefu ya weusi kwa ajili ya kutetea haki zao, lakini wangali ni wahanga wakubwa wa ubaguzi na matumizi ya mabavu na hasa kutoka kwa polisi ya nchi hiyo.
-
Trump awatisha waandamanaji wanaolalamikia ukatili Polisi Marekani dhidi ya Wamarekani Weusi
May 30, 2020 08:14Ukatili usio na kikomo wa Jeshi la Polisi nchini Marekani dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika au Wamarekani weusi ambao unafanyika katika fremu ya sera jumla za ubaguzi wa rangi dhidi ya kaumu hiyo umeibua malalamiko makubwa katika siku za hivi karibuni nchini humo. Malalamiko hayo yameibuka baada ya Mmarekani mweusi kuuawa kinyama siku chache zilizopita mikononi mwa afisa wa polisi mzungu.
-
Maandamano makubwa kufuatia jinai za polisi wa Marekani dhidi ya Wamarekani weusi
May 30, 2020 02:53Ubaguzi wa kijinsia na ubaguzi wa rangi hususan dhidi ya watu weusi daima ni mambo ambayo yamekuwa yakilaaniwa katika jamii ya Marekani.
-
Kongresi ya Marekani yataka kufanyika uchunguzi katika mauaji ya kibaguzi ya polisi wa nchi hiyo
May 29, 2020 11:13Bunge la Kongresi la Marekani sambamba na kutahadharisha juu ya kupotea imani ya wananchi kuhusu utekelezaji wa sheria usio na ubaguzi, limetaka kufanyika uchunguzi wa mauaji ya kibaguzi ya polisi wa nchi hiyo hususan mauaji ya hivi karibini.
-
Buhari: Mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni Afrika Kusini ni aibu kwa Afrika
Oct 05, 2019 02:38Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema kuwa, wimbi la mashambulizi yaliyowalenga Wanigeria na wageni wa mataifa mengine ya Afrika huko Afrika Kusini mwezi uliopita yalikuwa aibu kwa bara zima la Afrika.
-
Familia ya binti Msomali-Muingereza aliyegharikishwa yataka haki
Aug 13, 2019 07:29Familia ya binti Msomali mwenye uraia wa Uingereza aliyegharikishwa imetaka haki na uadilifu baada ya kubainika kuwa alipoteza maisha kwa njia ya kutatanisha.
-
Maafisa 60 wa jeshi la Israel wataka kukomeshwa ubaguzi wa rangi
Jul 21, 2019 08:08Maafisa 60 wenye asili ya Ethiopia wa jeshi la Israel wametoa wito wa kukomeshwa ubaguzi wa rangi katika muundo wa jeshi la utawala huo.
-
Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chapinga marekebisho ya katiba
Dec 05, 2018 01:10Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini kimetangaza kuwa, yumkini kikaenda mahakamani kusimamisha pendekezo la kufanyika marekebisho ya ardhi baada ya Bunge kupasisha ripoti inayoidhinisha kufanyika marekebisho ya katiba yatakayoruhusu kutwaliwa ardhi zinazomilikiwa na wazungu waliowachache bila ya kulipwa fidia.
-
Seneta Marekani akosolewa kwa kudhalilisha Kiswahili wakati wa kumsaili mkuu wa Facebook
Apr 11, 2018 07:46Seneta mmoja nchini Marekani amekosolewa na watumizi wa mitandao ya kijamii kutokana na hatua yake ya kuonekana kuikejeli na kuidhalilisha lugha ya Kishwaili.
-
Kenya ni mwenyeji wa Wiki ya Kupambana na Ubaguzi wa Rangi wa Israel
Mar 22, 2018 16:06Duru ya 14 ya 'Wiki ya Kupambana na Ubaguzi wa Rangi wa Israel' inafanyika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi ikijumuisha maonyesho ya filamu, mijadala na matamasha ya kiutamaduni.