-
Bush akosoa siasa za kibaguzi za Donald Trump huko Marekani
Oct 21, 2017 02:27Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush amesema siasa za nchi hiyo hazipasi kujengeka kwenye msingi wa kujitenga, ubaguzi na urongo.
-
Taasisi ya Gallup: Ubaguzi wa rangi Marekani umeongezeka sana, hasa kuwalenga weusi
Aug 30, 2017 03:12Uchunguzi wa maoni uliofanyika hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kwamba, uelewa wa wazungu walio wengi na watu wa matabaka ya walio wachache kuhusu suala la ubaguzi wa rangi, unatafuatiana sana.
-
UN yampongeza Muntari kwa kukosoa ubaguzi wa rangi uwanjani
May 02, 2017 16:33Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amempongeza Sulley Muntari, mchezaji wa klabu ya Pescara ya Italia kwa kuamua kuondoka uwanjani kulalamikia ubaguzi wa rangi dhidi yake.
-
Katibu Mtendaji wa ESCWA ajiuzulu baada ya UN kufuta ripoti inayoitambua Israel kuwa ni utawala wa Apartheid
Mar 18, 2017 02:49Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) amejizulu wadhifa wake baada ya Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres kutoa amri ya kufutwa ripoti ya kamati hiyo inayoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi, Apartheid.
-
Iran: Sera za kibaguzi za Trump zimeirejesha Marekani katika karne za kati
Jan 28, 2017 07:46Msemaji wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Bunge la Iran amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzuia viza za kuingia Waislamu wakiwemo Wairani katika ardhi ya Marekani ni kielelezo kwamba nchi hiyo imerejea katika zama za karne za kati, kwenye sera za kibaguzi na chuki za kidini na kikaumu.
-
Guterres: Mitazamo inayowabagua Waislamu inahuzunisha sana
Jan 28, 2017 07:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema jumuiya hiyo ya kimataifa ina wasiwasi mkubwa kuhusu ubaguzi unaowalenga wahajiri na jamii za waliowachache.
-
Waingereza wenye asili ya Afrika wanabaguliwa katika kazi za uhandisi
Dec 28, 2016 02:50Waingereza weusi au wenye asili ya Afrika wanakabiliwa na ubaguzi katika ajira ambapo wengi wananyimwa kazi kutokana na rangi yao.
-
Jordan avunja kimya, akemea mauaji ya Wamarekani weusi
Jul 26, 2016 16:56Nyota wa zamani wa mchezo wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Michael Jordan amevunja kimya chake kuhusu mauaji yanayofanywa na polisi wazungu wa nchi hiyo dhidi ya Wamarekani weusi na taathira mbaya za mauaji hayo ya kibaguzi.
-
Uchunguzi wa Pew: Wamarekani weusi, wahanga wa ubaguzi wa rangi
Jul 19, 2016 07:59Uchunguzi mpya wa maoni unaonesha kuwa, Wamarekani wengi weusi wanaamini kuwa ni wahanga wa ubaguzi wa rangi.
-
Wamarekani waendelea kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi
Jul 10, 2016 03:55Marekani imegubikwa na wingu zito la maandamano ya wananchi wanaopinga ukatili na mauaji yanayofanywa na polisi wazungu dhidi ya raia wenye asili ya Afrika.