-
Onyo la UN kuhusu ongezeko la vyama vya mrengo wa kulia barani Ulaya
Jul 06, 2024 02:36Volker Turk, Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, alionya Jumatano wiki hii kuhusu kuibuka kwa vyama vya mrengo wa kulia vyenye misimamo ya kufurutu mipaka barani Ulaya na kuhatarishwa haki za wahamiaji na wakimbizi.
-
Chama cha Macron chapigwa mweleka katika uchaguzi wa Bunge Ufaransa
Jul 01, 2024 05:49Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza matokeo ya awali ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge nchini humo ambapo chama cha "French National Communist Party" kimepata viti vingi na kuushinda muungano wa vyama unaoongozwa na rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron.
-
Ushindi wa mtetezi wa Palestina katika uchaguzi wa Bunge la Uingereza na onyo kali la Sunak
Mar 03, 2024 02:15Licha ya kuwa Uingereza inahesabiwa kuwa ni miongoni mwa waungaji mkono wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini mielekeo ya kisiasa na kijamii inaashiria kwamba waungaji mkono wa Wapalestina wanazidi kupata nguvu katika nchi hiyo ya Ulaya, suala ambalo limeibua onyo la Waziri Mkuu wa kihafidhina wa Uingereza, Rishi Sunak.
-
Waturuki wapiga kura katika uchaguzi muhimu zaidi tangu wa mwanzo wa vyama vingi 1950
May 14, 2023 11:44Upigaji kura katika uchaguzi wa 13 wa urais na wa 28 wa wabunge nchini Uturuki ulianza leo saa mbili asubuhi nchini kote na ulitazamiwa kuendelea hadi saa 11 jioni kwa saa za nchi hiyo.
-
Ushiriki mdogo wa wananchi wa Tunisia katika uchaguzi wa Bunge
Dec 19, 2022 12:47Karibu akthari ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura nchini Tunisia walisusia uchaguzi wa Bunge uliofanyika Jumamosi ya juzi tarehe 17 Disemba.
-
Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne
Nov 02, 2022 08:20Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne ulifanyika jana Jumanne tarehe 1 Novemba.
-
Ushindi wa mrengo wenye misimamo mikali katika uchaguzi wa Uswidi; onyo kwa Ulaya
Sep 16, 2022 13:26Muungano mpya wa kisiasa ulioanzishwa kati ya vuguvugu la mrengo wa kulia wa wastani na wa mrengo mkali wa kulia nchini Uswidi umeshinda uchaguzi wa bunge kwa tofauti ndogo na kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Uswidi baada ya miaka minane.
-
Jumuiya ya al-Wifaq: Uchaguzi ujao wa Bunge Bahrain ni wa kuimarisha dhulma
Sep 11, 2022 04:29Jumuiya ya Kitaifa na Kiislamu nchini Bahrain ya Al-Wifaq imetangaza kuwa, uchaguzi ujao wa Bunge nchini humo ni wenzo na chombo cha kuimarisha dhulma na kuendelea ufisadi
-
Mustakabali wenye giza wa Macron; uchaguzi wa Bunge Ufaransa waingia duru ya pili
Jun 15, 2022 02:12Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa, hakuna muungano wowote uliofanikiwa kupata asilimia 50 ya viti na kwa muktadha huo uchaguzi huo umeingia duru ya pili.
-
Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri la Macron, marekebisho yanayolenga kutafuta kukubalika na umma
May 22, 2022 02:57Mwezi mmoja baada ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa Emmanuel Macron Rais wa nchi hiyo akiwa na lengo la kutafuta uungaji mkono na kuwaridhisha wapigakura na hivyo serikalii yake iungwe mkono zaidi, amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri.