-
Kambi ya Rais wa Senegal: Macky Sall ameshinda Urais; upinzani wadai uchaguzi utaingia duru ya pili
Feb 25, 2019 12:19Kambi ya Rais wa sasa wa Senegal Macky Sall imetangaza kuwa, mgombea wake ameibuka mshindi kufuatia uchaguzi uliofanyika jana.
-
Kuakhirishwa uchaguzi sambamba na kuongezeka mivutano nchini Nigeria
Feb 17, 2019 09:37Katika hali ambayo uchaguzi mkuu wa rais wa Nigeria ulikuwa umepangwa kufanyika Jumamosi tarehe 16 Februari, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo imeuakhirisha ghafla na kutangaza kuwa sasa utafanyika Jumamosi ijayo ya tarehe 23.
-
Congo DR yakataa wito wa AU wa kuchelewesha tangazo la matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu
Jan 18, 2019 12:46Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekataa wito wa Umoja wa Afrika (AU) wa kuchelewesha kutangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa rais, suala ambalo linazidisha shaka kuhusu matokeo ya uchaguzi huo.
-
Uchaguzi wa Kongo DR na kuendelea mivutano ya kisiasa
Jan 12, 2019 14:41Siku ya Alkhamisi Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (CENI) ilimtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kujinyakulia asilimia 38.57 ya kura.
-
Chama tawala Kongo DR chataka kuangaliwa upya matokeo ya uchaguzi
Jan 10, 2019 12:33Baada ya kushindwa katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais, muungano wa chama tawala huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetangaza kwamba, unayo haki ya kutaka kuangaliwa upya matokeo hayo.
-
Wapinzani Kongo DR walalamikia ukiukwaji mkubwa wa taratibu katika uchaguzi wa rais
Dec 31, 2018 04:35Wagombea wakuu wa upinzani katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamedai kuwa uchaguzi wa jana Jumapili ulikumbwa na changamoto nyingi, zikiwemo za kukwama kwa mashine za kupigia kura, mvua kubwa katika maeneo mengi pamoja na machafuko na vurugu.
-
Uchaguzi wa rais ulioakhirishwa kwa muda mrefu waanza Kongo
Dec 30, 2018 04:36Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong leo Jumapili wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa rais ulioakhirishwa kwa muda mrefu nchini humo. Uchaguzi huo wa leo huwenda ukawa wa kwanza wa kukabidhiana madaraka kwa njia ya kidemokrasia katika nchi hiyo iliyokumbwa na machafuko.
-
Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tena
Dec 29, 2018 23:50Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo wakitaka kuhesabiwa tena kura za uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni nchini humo.