-
Araqchi: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Yemen yanadhihirisha namna nchi hiyo inavyoshiriki katika uvunjaji wa sheria wa Israel
Mar 30, 2025 07:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani mashambulizi ya kijeshi ya mara kwa mara ya Marekani katika maeneo mbalimbali ya Yemen na kusema: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani huko Yemen sambamba na kushtadi mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na hujuma zake dhidi ya Lebanon na Syria, yanaonyesha namna Marekani inavyoshiriki katika uvunjaji sheria wa Israel na kwenda sambamba na utawala huo katika kueneza machafuko na hali ya mchafukoge katika eneo.
-
Waasi wa M23 wauteka mji wa Walikale mashariki mwa Kongo DR
Mar 21, 2025 03:23Kundi la waasi la M23, linaloendesha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, limeuteka mji wa Walikale unaopatikana katika eneo lenye utajiri mkubwa wa madini huko Kivu Kaskazini.
-
Baqaei: Kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa Israel nchini Syria
Feb 27, 2025 11:47Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha uvunjaji sheria wa utawala haramu wa Israel nchini Syria
-
Yemen yasisitiza kukabiliana na hujuma yote ya nchi ajinabi
Dec 19, 2024 03:11Muhammad Ali al Houthi mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa nchi hiyo iko tayari kikamilifu kukabiliana na uchokozi wowote dhidi ya Yemen.
-
Kulaaniwa na Jumuiya ya NAM uvamizi wa Israel dhidi ya Iran
Nov 06, 2024 02:14Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), imelaani uovu wa utawala wa Kizayuni na hujuma yake ya makusudi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutangaza kuwa, shambulio hilo ni ukiukaji mkubwa wa mamlaka na umoja wa ardhi ya Iran.
-
Iran yalaani hujuma za kijeshi za Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen
Oct 06, 2024 07:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza huko Sana'a, Al Hudaydah na maeneo mengine ya Yemen.
-
Ubakaji waendelea kuongezeka nchini Uingereza
Mar 20, 2023 09:33Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza imetangaza kuwa zaidi ya malalamiko 70,000 kuhusu unyanyasaji wa kingono yamesajiliwa katika idara za polisi za nchi hiyo.
-
HAMAS yaionya Israel kuhusiana na kushadidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina
Aug 25, 2020 03:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala haramu wa Israel kuhusiana na kushadidisha mashambulio na mzingiro wake dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
OIC yatahadharisha kuhusu kuendelea jinai za Israel huko Palestina
Aug 08, 2019 08:03Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetahadharisha kuhusiana na kuendelea hujuma na uvamizi wa wanajeshi wa Israel pamoja na walowezi wa Kizayuni huko Quds inayokaliwa kwa mabavu hususan wito uliotolewa na Wazayuni wa kuvamiwa Msikiti wa al-Aqswa.
-
HAMAS yasisitiza kukomeshwa mashambulio ya Wazayuni dhidi ya Wapalestina
Jul 21, 2019 04:21Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, adui mzayuni ndiye anayebeba dhima ya kuendelea hujuma na mashambulio dhidi ya Wapalestina yakiwemo mashambulio dhidi ya waandamano wa maandamno ya "Haki ya Kurejea".