-
Wanawake Wapalestina wanaoshikiliwa katika jela za Israel wanadhalilishwa kijinsia na kuteswa
Nov 29, 2018 03:09Wanawake Wapalestina ambao wameingizwa hivi karibuni katika jela ya utawala haramu wa Kizayuni ya Hasharon, katika eneo la Al-Damun, wamesema kwamba wanakabiliwa na mateso makubwa na kutusiwa huku haki yao ya kupatiwa huduma za kiafya ikipuuzwa na utawala huo.
-
Askari wa UN akiri kunajisi watoto wadogo Afrika
Jul 30, 2018 07:09Askari mmoja wa zamani wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amekiri kwamba, aliwanajisi watoto na wanawake wa Kiafrika wakati alipokuwa akihudumia kikosi hicho mwaka 2004.
-
Ripoti: Askari vamizi wa Imarati wanawateka na kuwabaka wanawake wa Yemen
Jul 17, 2018 16:38Uchunguzi uliofanywa unaonyesha kwamba, vitendo vya kutekwa nyara wasichana wa Yemen na kubakwa katika maeneo yanayodhibitiwa na askari vibaraka na vamizi wanaoungwa mkono na kufadhiliwa na serikali ya Imarati, vimeongezeka zaidi.
-
Qassemi: Wasaudia sawa na Wazayuni wamekuwa nembo za wavamizi na watenda jinai Mashariki ya Kati
Apr 12, 2018 02:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, watawala wa hivi sasa wa Saudi Arabia wamekuwa ni nembo ya uvamizi na kutenda jinai Mashariki ya Kati sawa kabisa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Watu 28 wauawa India, katika machafuko ya kupinga kuhukumiwa kiongozi wa Kihindu aliyebaka
Aug 26, 2017 03:59Polisi katika jimbo la Haryana nchini India imetangaza kuwa, kwa akali watu 28 wameuawa na wengine 200 kujeruhiwa vibaya katika mapigano yaliyotokea Ijumaa ya jana katika majimbo mawili ya Haryana na Punjab kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Ayatullah Araki: Hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa hazitaachwa bila majibu
Jul 29, 2017 13:48Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina na Msikiti wa al-Aqswa ni hujuma dhidi ya ubinadamu na kwamba, mashambulio hayo hayatabikia hivi hivi bila majibu.
-
Majeshi ya Iran, Syria kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi
May 02, 2017 04:05Wakuu wa majeshi ya Iran na Syria wamesisitiza kuhusu kuimarisha ushirikiano wa majeshi ya nchi mbili katika vita dhidi ya ugaidi huku wakilaani vikali hujuma za Marekani na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.
-
Damascus yajibu propaganda chafu za Washington kuhusu silaha za kemikali
Apr 25, 2017 04:49Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Syria amekadhibisha propaganda chafu zinazoenezwa na vyombo vya habari vya Kimarekani na kusisitiza tena kwamba Syria haina aina yoyote ya silaha za kemikali.
-
Syria: Shambulizi la Israel ni jaribio la kuwapa motisha magaidi
Mar 18, 2017 02:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imemwandikia barua Karibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu shambulizi lililofanywa na utawala haramu wa Israel katika ardhi ya nchi hiyo na kusema ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawala ya Syria.
-
HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq
Feb 20, 2017 16:00Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanawake nchini Iraq ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh.