-
Rais Pezeshkian: Ushirikiano wa Iran na EAEU unafungua njia ya kuwa na 'kanda yenye nguvu'
Dec 22, 2025 03:23Rais Masoud Pezeshkian ameulezea ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Kiuchumi wa Ulaya na Asia EAEU kama mkakati wa muda mrefu wa kuimarisha mamlaka ya kitaifa ya kujitawala na kuanzisha kitovu cha nguvu ya kikanda.
-
Mauzo ya chai ya Iran nje ya nchi yaongezeka kwa 48%
Dec 16, 2025 06:42Mkuu wa Shirika la Chai la Iran, Habib Jahansaz amesema mauzo ya chai ya Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi katika miezi minane ya kwanza ya mwaka huu wa kalenda ya Iran (ulioanza Machi 21) yameongezeka kwa asilimia 48, ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.
-
Bunge la Iran lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri wa Uchumi
Mar 02, 2025 12:46Wabunge katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamepiga kura ya kumuondoa katika wadhifa wake Waziri wa Masuala ya Uchumi na Fedha wa Jamhuri ya Kiislamu, Abdolnaser Hemmati wakati wa kikao cha kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.
-
Iran: Ushindi wa Trump hautakuwa na athari yoyote kwa uchumi wetu
Nov 10, 2024 06:51Gavana wa Benki Kuu ya Iran (CBI), Mohammad-Reza Farzin amesema kuchaguliwa tena Donald Trump kuwa rais wa Marekani hakuna mfungamano wowote na ustawi wa uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Pezeshkian: Umoja ndio njia bora ya kukabiliana na matatizo ya kiuchumi
Sep 01, 2024 07:22Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesisitiza haja ya kulinda umoja wa kitaifa miongoni mwa mirengo na makundi mbalimbali ya kisiasa ili kuwatumikia vyema zaidi wananchi.
-
Waziri wa Uchumi: Iran imefikia hatua ya ukuaji endelevu wa kiuchumi
May 29, 2024 07:23Waziri wa Masuala ya Uchumi na Fedha wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran imefikia hatua ya ukuaji thabiti wa uchumi.
-
Iran na Saudia zimo kwenye mkondo wa kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
May 13, 2023 10:22Waziri wa Uchumi wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia hivi sasa zimo kwenye mkondo wa kuimarisha uhusiano wao wa kiuchumi na wameshafikia hatua nzuri.
-
Benki ya Dunia: Uchumi wa Iran ulistawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2021
Jan 17, 2022 08:03Benki ya Dunia imesema uchumi wa Iran ulistawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2021 na hivyo kupiga hatua zaidi ya utabiri wa benki hiyo ambayo ilikuwa imetabiri Juni mwaka jana kuwa ustawi huo ungekuwa kwa asilimia moja.
-
Rouhani: Uchumi wa Iran umeupiku wa Ujerumani wakati wa corona
Oct 04, 2020 03:22Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu katika kipindi hiki cha janga la corona umeupiku ule wa Ujerumani na kusisitiza kuwa, uchumi wa taifa hili utastawi zaidi kufikia Machi mwaka ujao 2021.
-
Bunge la 11 la Iran lafunguliwa kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu
May 27, 2020 08:02Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaka Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lililoanza shughuli zake leo Jumatano kuelekeza darubini na kujikita zaidi katika masuala ya uchumi wa kimuqawama na utamaduni.