-
IMF: Uchumi wa Iran unastawi kwa kasi baada ya JCPOA
Oct 04, 2016 04:45Mfuko wa Fedha Duniani IMF umesema uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unakuwa kwa kasi kubwa kufuatia kutekelezwa kwa makubaliano ya nyuklia unaofahamika kama Mpango Kamili ya Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Salehi: Uchumi wa Iran unategemea uwezo wa ndani na unaelekea kwenye kilele cha ustawi
Sep 30, 2016 04:28Makamu wa Rais wa Iran, ambaye pia ni Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki amesema uchumi wa taifa hili unategemea uwezo wa ndani na unaelekea kwenye kilele cha ustawi.
-
Velayati: Marekani na Saudia zinavunja sheria kwa kuingilia mambo ya ndani ya Syria
Aug 14, 2016 03:04Mkuu wa kituo cha utafiti wa kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, Marekani na Saudi Arabia zinaingilia mambo ya ndani ya Syria bila ya idhini ya serikali ya nchi hiyo na kwamba uwepo wa nchi hizo huko Syria ni kinyume cha sheria.
-
Iran: Dunia iungane katika vita dhidi ya ugaidi
Apr 30, 2016 04:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonya kuhusu kuenea ugaidi na misimamo mikali duniani na kusema jamii ya kimataifa inapasa kushirikiana kukabiliana na uovu huo.
-
Ali Tayyebnia: Mazingira yameandaliwa ya kustawishwa uhusiano kati ya Iran na Afrika Kusini
Apr 23, 2016 16:10Waziri wa Uchumi na Hazina wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kumeandaliwa mazingira mazuri kwa ajili ya kustawishwa uhusiano kati ya Iran na Afrika Kusini katika nyanja mbalimbali.
-
Rais Rouhani asisitiza kutekelezwa sera za Uchumi wa Muqawama
Mar 22, 2016 03:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa serikali yake itatekeleza sera za Uchumi wa Muqawama.
-
Rouhani: Uchumi wa Iran kustawi kwa 5%
Mar 20, 2016 15:46Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi hii inalenga kuwa na ustawi wa kiuchumi wa asilimia tano katika mwaka mpya wa Kiirani ulioanza Machi 20.
-
Ugiriki: Iran ni taifa linaloimarisha amani na usalama Mashariki ya Kati
Mar 18, 2016 08:07Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Ugiriki amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi muhimu ambayo inafanya juhudi kubwa za kuimarisha amani na usalama katika eneo la Mashariki ya kati.
-
Mchambuzi wa US: Saudia inaelekea kukumbwa na mgogoro wa kifedha
Mar 09, 2016 08:02Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya siasa wa Marekani amesema Saudi Arabia karibuni hivi itatumbukia katika mgogoro mkubwa wa kifedha.
-
Kiongozi alipongeza taifa la Iran kwa kushiriki kwa wingi katika chaguzi
Feb 29, 2016 02:33Kiongozi Muadhamu wa Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa la Iran kwa kushiriki kwa wingi katika chaguzi mbili za siku ya Ijumaa.