-
"Adui wa Ulaya na mtiifu kwa Uislamu"... Wafaransa wamshambulia afisa aliyetetea haki za Waislamu
Mar 17, 2023 02:27Wanaharakati na wanasiasa wa Ufaransa wamemshambulia kwa maneno Mratibu wa Kamisheni ya Ulaya ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Waislamu, Marion Lalisse, baada ya kuchapisha kipande cha video kwa lugha ya Kiarabu katika Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, na kufikia hatua ya kumutaja kuwa ni "adui wa Ulaya na mtiifu kwa Uislamu."
-
Iran yakosoa undumakuwili wa Ufaransa juu ya suala la haki za binadamu
Mar 12, 2023 07:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani undumakuwili wa Ufaransa, ambayo kwa upande mmoja inajinadi kuwa mbeba bendera ya kutetea haki za binadamu, lakini kwa upande wa mwngine inakanyaga haki hizo kwa vitendo.
-
Waziri Mkuu wa Mali: Tuna ushahidi, Ufaransa inashirikiana na magaidi
Mar 08, 2023 06:37Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maïga, amefichua - katika mahojiano maalumu na televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar- kuwa Bamako ina taarifa sahihi na ushahidi kwamba baadhi ya magaidi waliko nchini Mali wamekuwa wakiwasiliana na Ufaransa.
-
Burkina Faso yavunja rasmi makubaliano ya kijeshi ya 1961 na Ufaransa
Mar 02, 2023 13:09Burkina Faso imevunja rasmi makubaliano ya kijeshi iliyosaini na Ufaransa mwaka 1961, wiki chache baada ya kumtaka mkoloni wake huyo wa zamani kuondoa vikosi vyake na balozi wake nchini humo.
-
Kuondoka vikosi vya Ufaransa katika nchi ya Burkina Faso
Feb 21, 2023 10:52Hatimaye vikosi vya Ufaransa vimeondoka nchini Burkina Faso na kuhitimisha uwepo wake katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika uliodumu kwa miaka 10.
-
Baada ya kutimuliwa Ufaransa, magaidi 160 waangamizwa Burkina Faso
Feb 21, 2023 07:31Magaidi wasipoungua 160 wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Burkina Faso katika eneo la Sahel, wakati huu ambapo mabaki ya askari vamizi wa Ufaransa wanaendelea kuondoka nchini humo.
-
Iran yamshambulia Macron kwa kukutana na wanaopinga Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 18, 2023 10:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kukutana na 'shakhsia' wanaopinga mfumo wa uongozi na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran tokeo mwaka 1979.
-
Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya wananchi
Feb 13, 2023 02:34Askari polisi nchini Ufaransa wamewashambulia vibaya mamia ya maelfu ya watu walioshiriki maandamano ya kulalamikia sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo, na hususan mageuzi tata ya pensheni yaliyotazamiwa kuanza kutekelezwa mwaka huu wa 2023.
-
Tathmini ya maandamano ya ‘watu mamilioni moja’ Ufaransa ya kupinga sera za serikali ya Macron
Feb 13, 2023 02:33Takribani watu milioni moja waliandamana siku ya Jumamosi nchini Ufaransa ikiwa ni mara ya nne wakipinga sera za serikali ya Rais Emmanuel Macron.
-
Iran yajibu uropokaji wa Macron, yamtaka azungumzie silaha za nyuklia za Israel
Feb 04, 2023 03:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi ghalati ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliyedai katika mazungumzo yake na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuwa, eti Paris inatiwa wasiwasi na shughuli za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu.