Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Iran yakosoa undumakuwili wa Ufaransa juu ya suala la haki za binadamu

    Iran yakosoa undumakuwili wa Ufaransa juu ya suala la haki za binadamu

    Mar 12, 2023 04:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani undumakuwili wa Ufaransa, ambayo kwa upande mmoja inajinadi kuwa mbeba bendera ya kutetea haki za binadamu, lakini kwa upande wa mwngine inakanyaga haki hizo kwa vitendo.

  • Waziri Mkuu wa Mali: Tuna ushahidi, Ufaransa inashirikiana na magaidi

    Waziri Mkuu wa Mali: Tuna ushahidi, Ufaransa inashirikiana na magaidi

    Mar 08, 2023 03:07

    Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maïga, amefichua - katika mahojiano maalumu na televisheni ya Al-Jazeera ya Qatar- kuwa Bamako ina taarifa sahihi na ushahidi kwamba baadhi ya magaidi waliko nchini Mali wamekuwa wakiwasiliana na Ufaransa.

  • Burkina Faso yavunja rasmi makubaliano ya kijeshi ya 1961 na Ufaransa

    Burkina Faso yavunja rasmi makubaliano ya kijeshi ya 1961 na Ufaransa

    Mar 02, 2023 09:39

    Burkina Faso imevunja rasmi makubaliano ya kijeshi iliyosaini na Ufaransa mwaka 1961, wiki chache baada ya kumtaka mkoloni wake huyo wa zamani kuondoa vikosi vyake na balozi wake nchini humo.

  • Kuondoka vikosi vya Ufaransa katika nchi ya Burkina Faso

    Kuondoka vikosi vya Ufaransa katika nchi ya Burkina Faso

    Feb 21, 2023 07:22

    Hatimaye vikosi vya Ufaransa vimeondoka nchini Burkina Faso na kuhitimisha uwepo wake katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika uliodumu kwa miaka 10.

  • Baada ya kutimuliwa Ufaransa, magaidi 160 waangamizwa Burkina Faso

    Baada ya kutimuliwa Ufaransa, magaidi 160 waangamizwa Burkina Faso

    Feb 21, 2023 04:01

    Magaidi wasipoungua 160 wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Burkina Faso katika eneo la Sahel, wakati huu ambapo mabaki ya askari vamizi wa Ufaransa wanaendelea kuondoka nchini humo.

  • Iran yamshambulia Macron kwa kukutana na wanaopinga Mapinduzi ya Kiislamu

    Iran yamshambulia Macron kwa kukutana na wanaopinga Mapinduzi ya Kiislamu

    Feb 18, 2023 06:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kukutana na 'shakhsia' wanaopinga mfumo wa uongozi na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran tokeo mwaka 1979.

  • Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya wananchi

    Polisi ya Ufaransa yakandamiza maandamano ya wananchi

    Feb 12, 2023 23:04

    Askari polisi nchini Ufaransa wamewashambulia vibaya mamia ya maelfu ya watu walioshiriki maandamano ya kulalamikia sera za Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo, na hususan mageuzi tata ya pensheni yaliyotazamiwa kuanza kutekelezwa mwaka huu wa 2023.

  • Tathmini ya maandamano ya ‘watu mamilioni moja’ Ufaransa ya kupinga sera za serikali ya Macron

    Tathmini ya maandamano ya ‘watu mamilioni moja’ Ufaransa ya kupinga sera za serikali ya Macron

    Feb 12, 2023 23:03

    Takribani watu milioni moja waliandamana siku ya Jumamosi nchini Ufaransa ikiwa ni mara ya nne wakipinga sera za serikali ya Rais Emmanuel Macron.

  • Iran yajibu uropokaji wa Macron, yamtaka azungumzie silaha za nyuklia za Israel

    Iran yajibu uropokaji wa Macron, yamtaka azungumzie silaha za nyuklia za Israel

    Feb 03, 2023 23:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi ghalati ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliyedai katika mazungumzo yake na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kuwa, eti Paris inatiwa wasiwasi na shughuli za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu.

  • Waziri: Migomo itatatiza usafiri wa umma kote nchini Ufaransa

    Waziri: Migomo itatatiza usafiri wa umma kote nchini Ufaransa

    Jan 29, 2023 23:16

    Waziri wa Uchukuzi wa Ufaransa amesema migomo ya wafanyakazi wa sekta hiyo kuanzia kesho Jumanne inatazamiwa kulemaza usafiri wa umma katika pembe zote za nchi hiyo ya Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS