Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Chad na Senegal zakerwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa dhidi ya viongozi wa Afrika

    Chad na Senegal zakerwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa dhidi ya viongozi wa Afrika

    Jan 07, 2025 12:18

    Chad imeelezwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron dhidi ya viongozi wa Afrika.

  • Mwaka mpya waanza na maafa Ufaransa, magari 1000 yamechomwa moto mkesha wa mwaka mpya

    Mwaka mpya waanza na maafa Ufaransa, magari 1000 yamechomwa moto mkesha wa mwaka mpya

    Jan 03, 2025 03:45

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa ametangaza kuwa magari elfu moja yalichomwa moto wakati wa ghasia na machafuko ya sherehe za kukaribisha mwaka mpya nchini humo.

  • Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria

    Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria

    Jan 02, 2025 06:48

    Rais William Ruto wa Kenya kwa mara ya kwanza amekiri hadharani matumizi mabaya ya mamlaka yanayofanywa na vikosi vya usalama, kufuatia wimbi la utekaji nyara wenye utata ambao umezua maandamano makubwa ya upinzani nchini humo.

  • Ufaransa yaondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kutofikia muafaka na uongozi wa nchi hiyo

    Ufaransa yaondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kutofikia muafaka na uongozi wa nchi hiyo

    Dec 11, 2024 07:27

    Ufaransa jana Jumanne iliondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kushindwa kufikia muafaka na serikali ya nchi hiyo.

  • Idadi ya wafungwa Ufaransa yavunja rekodi huku wasiwasi wa msongamano ukiongezeka

    Idadi ya wafungwa Ufaransa yavunja rekodi huku wasiwasi wa msongamano ukiongezeka

    Dec 02, 2024 02:37

    Wasiwasi umeibuka katika magereza ya Ufaransa baada ya idadi ya wafungwa kuongezeka na kuibua wasiwasi wa kutokea msongamano katika magereza ya nchi hiyo.

  • Mwisho wa uwepo wa jeshi la Ufaransa nchini Chad

    Mwisho wa uwepo wa jeshi la Ufaransa nchini Chad

    Dec 02, 2024 02:37

    Serikali ya Chad imetangaza kukomesha makubaliano yake ya ushirikiano wa kijeshi na Ufaransa na kutangaza kuwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo vinapaswa kuondoka nchini Chad.

  • Waziri wa zamani wa vita wa Israel: Tunachofanya kaskazini ya Ghaza ni

    Waziri wa zamani wa vita wa Israel: Tunachofanya kaskazini ya Ghaza ni "maangamizi ya kizazi"

    Dec 01, 2024 06:15

    Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Yaalon amesema, utawala huo unafanya "maangamizi ya kizazi" kaskazini ya Ukanda wa Ghaza, akimshutumu waziri mkuu Benjamin Netanyahu kwa kuielekeza Israel kwenye "uharibifu."

  • Chad yakata uhusiano wa kijeshi na Ufaransa

    Chad yakata uhusiano wa kijeshi na Ufaransa

    Nov 29, 2024 07:15

    Chad imehitimisha makubaliano iliyofikia na Ufaransa kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika nyanja za usalama na ulinzi kati ya nchi mbili.

  • Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO

    Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO

    Nov 24, 2024 02:26

    Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia Russia kwa kutumia silaha za masafa marefu za Marekani na Ulaya kwa upande mmoja, na Russia kutumia w kombora jipya la masafa ya kati lenye kasi ya zaidi ya sauti dhidi ya Ukraine kama tahadhari kali kwa Magharibi, kumeibua mgogoro mkubwa na usio na kifani kati ya Russia na NATO.

  • Hatua mpya ya Wamagharibi ya kuchochea moto wa vita vya Ukraine

    Hatua mpya ya Wamagharibi ya kuchochea moto wa vita vya Ukraine

    Nov 18, 2024 11:13

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka ya Russia ya kabla ya 2014. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya jana Jumapili iliyotolewa na gazeti la New York Times likiwanukuu maafisa wa Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS