Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa

    Kukosolewa vikali madai ya kuwepo uhuru wa kujieleza nchini Ufaransa

    Nov 15, 2020 23:03

    Mwenendo wa chuki na kukejeliwa itikadi za Waislamu nchini Ufaransa umeshika kasi katika miaka ya karibuni, na katika uwanja huo kuchapishwa tena na jarida la Charlie Hebdo, vikatuni vinamvyodhalilisha Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) kumewakasirisha sana Waislamu.

  • Amnesty: Kwa undumakuwili ilionao, Ufaransa haiwezi kudai inaunga mkono uhuru wa kutoa maoni

    Amnesty: Kwa undumakuwili ilionao, Ufaransa haiwezi kudai inaunga mkono uhuru wa kutoa maoni

    Nov 15, 2020 00:32

    Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limekosoa mtazamo wa kiundumakuwili wa serikali ya Ufaransa na kusisitiza kuwa, serikali hiyo haiwezi kudai kwamba inaunga mkono uhuru wa kutoa maoni.

  • Kiongozi wa ngazi za juu wa al-Qaeda auawa kaskazini mwa Mali

    Kiongozi wa ngazi za juu wa al-Qaeda auawa kaskazini mwa Mali

    Nov 14, 2020 04:06

    Kiongozi wa operesheni za kijeshi wa tawi la kundi la al-Qaida kanda ya Afrika Kaskazini ameuawa katika operesheni ya jeshi la Ufaransa nchini Mali.

  • Kansela wa Ujerumani akwepa kulaani vitendo vya kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu

    Kansela wa Ujerumani akwepa kulaani vitendo vya kuvunjia heshima matukufu ya Uislamu

    Nov 11, 2020 11:13

    Kansela Angela Merkel wa Ujerumani amekwepa kulaani hatua na vitendo vya kuvunjia heshima thamani na matukufu ya Uislamu.

  • Juhudi za Ufaransa za kujaribu kupunguza hasira ya Waislamu duniani

    Juhudi za Ufaransa za kujaribu kupunguza hasira ya Waislamu duniani

    Nov 09, 2020 23:09

    Uadui wa viongozi wa Ufaransa dhidi ya Uislamu, umeamsha hasira ya Waislamu katika pembe zote za dunia kadiri kwamba nchi nyingi za Kiislamu zimelaani msimamo huo wa Wafaransa, bali zimeanzisha harakati za kususia bidhaa zinazotengenezwa Ufaransa ili kuonyesha kuchukizwa kwao na uadui huo wa viongozi wa Paris.

  • Vijana Waislamu wa Ufaransa wajitolea kulinda makanisa ya nchi hiyo

    Vijana Waislamu wa Ufaransa wajitolea kulinda makanisa ya nchi hiyo

    Nov 07, 2020 23:07

    Licha ya hatua na matamshi ya kiuadui na ya chuki yaliyotolewa na viongozi wa Ufaransa dhidi ya Uislamu, kundi moja la vijana Waislamu Wafaransa wamejitolea kulinda usalama wa makanisa ya nchi hiyo.

  • Putin akosoa dini kuvunjiwa heshima kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza

    Putin akosoa dini kuvunjiwa heshima kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza

    Nov 06, 2020 22:59

    Kuongezeka vitendo vya kuvunjiwa heshima Mtume Mtukufu (saw) nchini Ufaransa na kuungwa mkono vitendo hivyo na Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kwa kisingizio cha kutetea uhuru wa kusema na kujieleza, ni jambo ambalo limeamsha hasira kubwa ya ulimwengu wa Kiislamu.

  • Wanafikra dunia wataka kuwekwa sheria zinazozuia kuvunjiwa heshima dini za mbinguni

    Wanafikra dunia wataka kuwekwa sheria zinazozuia kuvunjiwa heshima dini za mbinguni

    Nov 05, 2020 04:52

    Wanafikra na viongozi wa dini duniani wametoa wito wa kutungwa sheria zinazozuia kuvunjiwa heshima Mitume wa Mwenyezi Mungu, dini za mbinguni na wafuasi wake.

  • Wanafikra dunia wataka kuwekwa sheria unayozuia kuvunjiwa heshima dini za mbinguni

    Wanafikra dunia wataka kuwekwa sheria unayozuia kuvunjiwa heshima dini za mbinguni

    Nov 05, 2020 04:52

    Wanafikra na viongozi wa dini duniani wametoa wito wa kutungwa sheria zinazozuia kuvunjiwa heshima Mitume wa Mwenyezi Mungu, dini za mbinguni na wafuasi wake.

  • Wahadhiri wa vyuo vikuu wa Iran walaani kuvunjiwa heshima Mtume (saw)

    Wahadhiri wa vyuo vikuu wa Iran walaani kuvunjiwa heshima Mtume (saw)

    Nov 04, 2020 03:35

    Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini Iran wametoa taarifa wakilaani vikali hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kumvujia heshima Mtume Muhammad (saw).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS