-
Ivory Coast yatangaza tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa nchini humo
Feb 07, 2025 23:28Serikali ya Ivory Coast imeainisha tarehe ya kuondoka wanajeshi 'vamizi' wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka pia Senegal
Jan 19, 2025 02:16Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga kambi yake ya kijeshi nchini Senegal baada ya kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Senegal.
-
Ufaransa yamuonya Trump kuhusu eneo la Greenland la Denmark
Jan 08, 2025 23:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot, jana Jumatano alimtahaharisha Donald Trump kuhusu hatua yake ya kutishia "mipaka huru" ya Umoja wa Ulaya baada ya rais huyo mteule wa Marekani kukataa kutupilia mbali hatua za kijeshi za kutaka kuidhibiti Greenland, eneo linalojitawala la mwanachama wa Umoja wa Ulaya, Denmark.
-
Chad yakosoa ubabe na ukoloni wa Ufaransa
Jan 08, 2025 12:07Kufuatia kauli za Rais wa Ufaransa kwamba nchi za Afrika zimesahau kuishukuru Paris kwa kushiriki katika kile anachosema ni 'mapambano dhidi ya ugaidi' katika eneo la Sahel, Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad amekosoa maneno hayo na kuyalaani.
-
Chad na Senegal zakerwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa dhidi ya viongozi wa Afrika
Jan 07, 2025 08:48Chad imeelezwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron dhidi ya viongozi wa Afrika.
-
Mwaka mpya waanza na maafa Ufaransa, magari 1000 yamechomwa moto mkesha wa mwaka mpya
Jan 03, 2025 00:15Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa ametangaza kuwa magari elfu moja yalichomwa moto wakati wa ghasia na machafuko ya sherehe za kukaribisha mwaka mpya nchini humo.
-
Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria
Jan 02, 2025 03:18Rais William Ruto wa Kenya kwa mara ya kwanza amekiri hadharani matumizi mabaya ya mamlaka yanayofanywa na vikosi vya usalama, kufuatia wimbi la utekaji nyara wenye utata ambao umezua maandamano makubwa ya upinzani nchini humo.
-
Ufaransa yaondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kutofikia muafaka na uongozi wa nchi hiyo
Dec 11, 2024 03:57Ufaransa jana Jumanne iliondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kushindwa kufikia muafaka na serikali ya nchi hiyo.
-
Idadi ya wafungwa Ufaransa yavunja rekodi huku wasiwasi wa msongamano ukiongezeka
Dec 01, 2024 23:07Wasiwasi umeibuka katika magereza ya Ufaransa baada ya idadi ya wafungwa kuongezeka na kuibua wasiwasi wa kutokea msongamano katika magereza ya nchi hiyo.
-
Mwisho wa uwepo wa jeshi la Ufaransa nchini Chad
Dec 01, 2024 23:07Serikali ya Chad imetangaza kukomesha makubaliano yake ya ushirikiano wa kijeshi na Ufaransa na kutangaza kuwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo vinapaswa kuondoka nchini Chad.