Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Dada yake Bin Salman kufikishwa katika mahakama ya jinai Ufaransa

    Dada yake Bin Salman kufikishwa katika mahakama ya jinai Ufaransa

    Jun 13, 2019 21:56

    Dada yake Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kupandishwa kizimbani mwezi ujao wa Julai katika mahakama ya jinai nchini Ufaransa, akiandamwa na shitaka la kumuagiza mlinzi wake kumpiga mfanyakazi wa kiume mjini Paris.

  • Iran yakosoa matamshi ya Rais wa Ufaransa alipokutana na Trump

    Iran yakosoa matamshi ya Rais wa Ufaransa alipokutana na Trump

    Jun 07, 2019 02:58

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alipokutana na mwenzake wa Marekani mjini Paris na kusema matamshi ya Macron hayasaidii katika kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ripoti: Mitandao ya kijamii ya Facebook, Instagram na WhatsApp inachochea ufuska na unyanyasaji wa kijinsia

    Ripoti: Mitandao ya kijamii ya Facebook, Instagram na WhatsApp inachochea ufuska na unyanyasaji wa kijinsia

    Jun 06, 2019 09:27

    Utafiti uliofanywa katika nchi 35 na kundi la Fondation Scelles la nchini Ufaransa umeitaja mitandao ya kijamii ya Facebook, Snapchat, WhatsApp, Instagram na Tinder kuwa inachochea ufuska na unyanyasaji wa kijinsia.

  • Mauzo ya silaha za Ufaransa kwa Saudia yaongezeka kwa 50%

    Mauzo ya silaha za Ufaransa kwa Saudia yaongezeka kwa 50%

    Jun 04, 2019 23:26

    Ripoti mpya inaonesha kuwa mauzo ya silaha za Ufaransa kwa Saudi Arabia yaliongezeka kwa asilimia 50 mwaka uliopita wa 2018.

  • Ufaransa na Uingereza zailaani Israel kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Ufaransa na Uingereza zailaani Israel kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Jun 04, 2019 01:56

    Ufaransa na Uingereza zimelaani jinai za Israel za kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi inazowapora Wapalestina na kusema kuwa kitendo hicho kinakwenda kinyume na sheria za kimataifa.

  • Ufaransa yafanya njama za kuhalalisha siasa zake zilizofeli barani Afrika

    Ufaransa yafanya njama za kuhalalisha siasa zake zilizofeli barani Afrika

    May 29, 2019 06:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema kuwa, nchi za eneo la Sahel Africa zisikae muda wote kusubiri msaada wa wanajeshi wa Ufaransa.

  • Bahram Qassemi: Silaha za nyuklia hazimo kabisa katika ajenda ya ulinzi ya Iran

    Bahram Qassemi: Silaha za nyuklia hazimo kabisa katika ajenda ya ulinzi ya Iran

    May 28, 2019 03:34

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Paris Ufaransa amesema kuwa, silaha za nyuklia kamwe hazijawahi kuwemo kenye ajenda ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    Sisitizo la viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa la kulindwa mapatano ya JCPOA

    May 22, 2019 05:18

    Mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la JCPOA yalifikiwa mwezi Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1 lililojumuisha nchi za Marekani, Uingereza, Ufaransa, Russia, China pamoja na Ujerumani na Umoja wa Ulaya. Mapatano hayo yalianza kutekelezwa mwezi Januari 2016.

  • Russia, Ujerumani na Ufaransa zasisitiza kuwa JCPOA lazima ilindwe

    Russia, Ujerumani na Ufaransa zasisitiza kuwa JCPOA lazima ilindwe

    May 22, 2019 03:46

    Viongozi wa Russia, Ujerumani na Ufaransa wamesisitizia haja ya kubakishwa hai na kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, huku wakibainisha kuwa nchi zao zinafanya kila linalowezekana kuimarisha uhusiano wao wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, licha ya Marekani kuchukua hatua ya upande mmoja ya kujiondoa kwenye mapatano hayo ya kimataifa.

  • Uingereza, Ujerumani: Ulaya inafanya juhudi za kutekeleza mfumo wa INSTEX

    Uingereza, Ujerumani: Ulaya inafanya juhudi za kutekeleza mfumo wa INSTEX

    May 11, 2019 03:26

    Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimesema zinafanya juu chini kuhakikisha kuwa mfumo maalumu wa kifedha wa Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (INSTEX) unaanza kufanya kazi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS